Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 705
- 1,369
- Thread starter
- #21
Acha mihemko na fikra mgando..... sio kila anetoa lawama ni wivu, huduma zao ni hovyo sana upande kwa kujali mudaWivu tu. Dar lux ni kampuni bora sana, sioni wa kulinganisha naye kwa 'ruti' ya Dar - Mwanza.