mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,839
- 4,916
niliwahi kusafiri nayo mara moja yaliyonikuta mpaka leo sina ham na hiyo kampuni.Kuna wanaoitwa princess muro, hao cheza nao mbali kabisa! Hawafai
niliwahi kusafiri nayo mara moja yaliyonikuta mpaka leo sina ham na hiyo kampuni.Kuna wanaoitwa princess muro, hao cheza nao mbali kabisa! Hawafai
kwahyo hiyo kampuni ina basi moja tu? yaan gari inatoka dar inafika mwanza halafu inageuza.Shida ni kwamba gari haziruhusiwi kusafiri usiku baada ya saa sita, sasa unakuta inayoenda Dar ndio imelala Shinyanga, so lazima msubiri apo, ije nyegezi, ioshwe na service inapobidi.
najmunisa hizi zinazopiga hata ruti za bariadi -dar?Jaribu gari yetu NAJIMUNISA
wakati wa kushuka kwa nini hukumtongoza? umeshindwa kumtongoza ana kwa ana unataka kupitia jf acha uoga kijana.USIOMBE KUSAFIRI SAFARI ZA MASAFA MAREFU NA BINTI MDADA MREMBO UTAJUTA KWA KUKOSA KUONGEA NAEE
Nakumbuka mwezi wa nane mwaka huu nilienda mwanza nyumbani kutokea DAR kwa basi la DAD LUX pale shekirango tuliondoka saa 7 mchana kwenda mwanza , sasa ndani ya basi alikuwamo binti mmoja mzuri mithili ya miss Tanzanian a probably atakuwa UNIVERSITY STUDENT hapa,, sasa lets go huku👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👉🏾👉🏾👉🏾👉🏾👉🏾👉🏾 sasa ndani ya basi mie nilikaa siti za katikati upande wa kulia yeye akakaa upande wa kushoto mwa gari kama siti mbili kutoka kwangu , sasa ki ukweli nilitokea kutamani kuongea nae huyo mdada probably hata aniambie jina lake tuuuu sasa kulinhana na hile shobo ya macho ya watuuu MKAKA WA WATU SIMU YANGU IKAISHIWA CHAJI NIKAMWOMBA ANICHAJIE SASA DAH KI UKWELI SIKU ILEEEE NILITAMANI SANA HATA KUONGEA NAE JAPO NIJUE JINA LAKE TUU maana safari nzima nilikaa siti moja na mzee mmoja hivi ila yye alishukia shinyanga dah basi NIKAAMBULIA TUU YEYE KUNICHAJIA SIMU YANGU
Tulipofika mwanza pale ofisi za dar lux nyegezi lilikuwa saa 5 mchana , basi tukashuka sasa sijui binti alinielewa ,, au sijui ninii aseeeeeeeeeee mie harakatii zangu hata sikuwa na idea kuwa nmeshaelewek sijui nisemeje tuuuuuu dah DAH KWA KWELI NI SAFARI AMBAYO ILIENFA VIBAYA SANA KWANGU JAPO ALINISAIDIA KUCHAJI SIMU,,. .
HEY ww ka bintii ka rembo tulio safiri pamoja kutoka dar kwenda mwanza na basi la dar lux na wote tukashukia nyegezi dar lux offices PLEASEEEEE KAMA HUMO HUMU JAMII FORUMS *******NIKUMBUKE MIMI YULE MKAKA PROBABLY THE SAME AGE ,, ,, , NILIEKUOMBA UNISAIDIE KUCHAJI SIMU YANGU NDANI YA BASI , , JAPOOO NAOMBA TUFAHAMIANE TUU KAMA UPO HAPA DSM MAANA TOU LOOK A UNIVERSITY GIRL,,,,, PLEASEEEEEEE NJ IN BOX AU UNAWEZA NI. TAG HAPAA
Teh teh ni la ushirombo mbaba.sema lile unapandia mwendo tu ndan ni wizi mtupuKISBO sina hamu nao hadi leo. Lina sifa kibao ila ingia ndani utahisi umepanda gari za ushirombo.
unachosema ni kweli nimekuwa mzoefu wa ruti za huko, magari luxuary ni mbeya dar au mtwara dar.Kila leo kuna abiria wapya na ni ngumu kujua kama lina shida mpaka uwe na safari za mara kwa mara. Kusafiri nalo once a year likachelewa kuondoka huoni kama ni hasara unapotezea. Na kinachowapa kiburi bus za Mwanza zote ndani ni mbaya mno
Mbeya dsm full ma luxury kwa kweli.ila kuja huku kanda ya ziwa basi nyingi uchwala upande wa comfortabilityunachosema ni kweli nimekuwa mzoefu wa ruti za huko, magari luxuary ni mbeya dar au mtwara dar.
Nyuma imeandikwa "The Pride of Mwanza" ...hiyo hakuna kuharibika njiani na ikiharibika ina technical staffs wa kutoshaHahaha hili gari niliwahiga panda 2013, kumbe bado lipo. Nilihc nipo kwenye tracker naelekea kimbiji shambani
Nyuma imeandikwa "The Pride of Mwanza" ...hiyo hakuna kuharibika njiani na ikiharibika ina technical staffs wa kutosha
Chuma ya fundi hiyo ...kuna kampuni zinatakiwa kupewa tuzo kwa kutoa huduma katika mazingira yote ya jua na mvua maana Super Najmunisa amekuwepo tangu lami inaanzia Shinyanga mpaka imekamilika yupo na imeshaanza kuchakaa (safari za Mwanza ni wachache hudumu aisee na ndio maana kila mwaka kuna kampuni inaibuka na kushika njia alafu baadae inageuka kuwa kimeo tena)Basi kuna gari zina roho ya paka.
Ni kweli mkuu hili gari nimekuwepo mda sana. pongezi kwaoChuma ya fundi hiyo ...kuna kampuni zinatakiwa kupewa tuzo kwa kutoa huduma katika mazingira yote ya jua na mvua maana Super Najmunisa amekuwepo tangu lami inaanzia Shinyanga mpaka imekamilika yupo na imeshaanza kuchakaa (safari za Mwanza ni wachache hudumu aisee na ndio maana kila mwaka kuna kampuni inaibuka na kushika njia alafu baadae inageuka kuwa kimeo tena)
Sijawahi kuona domo zege anaefanikiwa kupata demu ipatikanapo nafasi. Hivi madomo zege huwa mnataka demu ndo aanze kuwaongelesha na kuwatongoza sio?USIOMBE KUSAFIRI SAFARI ZA MASAFA MAREFU NA BINTI MDADA MREMBO UTAJUTA KWA KUKOSA KUONGEA NAEE
Nakumbuka mwezi wa nane mwaka huu nilienda mwanza nyumbani kutokea DAR kwa basi la DAD LUX pale shekirango tuliondoka saa 7 mchana kwenda mwanza , sasa ndani ya basi alikuwamo binti mmoja mzuri mithili ya miss Tanzanian a probably atakuwa UNIVERSITY STUDENT hapa,, sasa lets go huku[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1485][emoji1485][emoji1485][emoji1485][emoji1485][emoji1485] sasa ndani ya basi mie nilikaa siti za katikati upande wa kulia yeye akakaa upande wa kushoto mwa gari kama siti mbili kutoka kwangu , sasa ki ukweli nilitokea kutamani kuongea nae huyo mdada probably hata aniambie jina lake tuuuu sasa kulinhana na hile shobo ya macho ya watuuu MKAKA WA WATU SIMU YANGU IKAISHIWA CHAJI NIKAMWOMBA ANICHAJIE SASA DAH KI UKWELI SIKU ILEEEE NILITAMANI SANA HATA KUONGEA NAE JAPO NIJUE JINA LAKE TUU maana safari nzima nilikaa siti moja na mzee mmoja hivi ila yye alishukia shinyanga dah basi NIKAAMBULIA TUU YEYE KUNICHAJIA SIMU YANGU
Tulipofika mwanza pale ofisi za dar lux nyegezi lilikuwa saa 5 mchana , basi tukashuka sasa sijui binti alinielewa ,, au sijui ninii aseeeeeeeeeee mie harakatii zangu hata sikuwa na idea kuwa nmeshaelewek sijui nisemeje tuuuuuu dah DAH KWA KWELI NI SAFARI AMBAYO ILIENFA VIBAYA SANA KWANGU JAPO ALINISAIDIA KUCHAJI SIMU,,. .
HEY ww ka bintii ka rembo tulio safiri pamoja kutoka dar kwenda mwanza na basi la dar lux na wote tukashukia nyegezi dar lux offices PLEASEEEEE KAMA HUMO HUMU JAMII FORUMS *******NIKUMBUKE MIMI YULE MKAKA PROBABLY THE SAME AGE ,, ,, , NILIEKUOMBA UNISAIDIE KUCHAJI SIMU YANGU NDANI YA BASI , , JAPOOO NAOMBA TUFAHAMIANE TUU KAMA UPO HAPA DSM MAANA TOU LOOK A UNIVERSITY GIRL,,,,, PLEASEEEEEEE NJ IN BOX AU UNAWEZA NI. TAG HAPAA
Hii chombo naikubali kuna dreva wake ustaadhi huyo ni hatari kwanza hapendi kuchimbisha dawa hovyo hovyoKamata hiyo chombo ya kazi ila hakikisha hausumbuliwi na tezi dume maswala ya kuchimba dawa mara 4 waachie Dar lux,
#Kibo confidential #kibo confidenceView attachment 941268View attachment 941267
Nyie Dar Lux nashangaa kuona watu wengi wanasema mnachelewaga kutoka sasa mbona kuna siku nilitaka nisafiri na kampuni yenu nikafika Mbezi Mwisho saa 12 kamili nikaona kimya baada ya dk kama 10 hv nikapiga eti naambiwa mmeshapitaaa na kibaya zaidi rti hamkurudisha nauli yangu.Wapo watu wachache wanaotuchafua Daima sisi Dar lux tutajitaidi kutoa huduma bora kwa wananchi
Tunafuatilia hoja zenu tutazifanyia kazi
Poleni sana wateja wetu tunawapenda sana
Msichoke kutushauri kama wateja wetu
Mtaona mabadiliko makubwa
Peleka malalamiko SumatraHii kampuni imekua na tabia ya kuondoka jijini Mwanza kuanzia saa tatu asubuhi karibia safari zote. Imekua ni tabia sugu mno.
Hili sio jambo la kiungwana.
Ni usumbufu kwa abiria na uharibifu wa ratiba za abiria.
kama kuna namna mamlaka ya usafiri inaweza kukomesha hili wanajamvi naomba muongozo ntalisimamia hili mpaka wanyooke.
Hamna lolote. Darlux wamekuwa jeuri sana. Wamelewa sifa.Wivu tu. Dar lux ni kampuni bora sana, sioni wa kulinganisha naye kwa 'ruti' ya Dar - Mwanza.