Kampuni ya Apple ina mpango wa kuanza kuunda autonomous electric vehicles (A-EVs) na kuwa barabarani 2027

Tesla's future is promising .

Tuneelekea dunia ya matumjzj ya gari za umeme nobody will give a damn about Gas cars

Hio Toyota yako inaweza baki jina

Miaka 10 Hadi 15 ijayo utaelewa nachuambia

Kila Zama na kitabu
Sikatahi kwamba BEVs are the future! Lakini market capitalisation ya Tesla ni ridiculous! And I can bet soon it will join Apple and Amazon to the trillion territory!!!
Sioni justification ya Tesla kuwa na thamani mara 14 ya kampuni ya Mercedes zaidi ya battery.
Hata ukianza ku compare models za makampuni mengine zinazo tumia Battery utaona wana fanya vizuri. Na hii imechangia Tesla kushuka mauzo 2020 baadhi ya sehemu za Europe. Tatizo haya makampuni makubwa walichelewa ku invest kwenye electric. Na ndio kosa linaloendelea kufanywa na Ferrari.

Mfano compare hizi SUV za makampuni mengine na Tesla:

Mercedes EQC:
1610323695144.jpeg
Full battery ni 279 mile range, price approx £60,000

Jaguar I-PACE:
1610323425774.jpeg

Full battery ni 298 mile range, price ni approx £58,000

Tesla model X:
dsc_0755.jpg

Full battery ni 251 -351 mile range, price inaanzia £74,000
 
Sikatahi kwamba BEVs are the future! Lakini market capitalisation ya Tesla ni ridiculous! And I can bet soon it will join Apple and Amazon to the trillion territory!!!
Sioni justification ya Tesla kuwa na thamani mara 14 ya kampuni ya Mercedes zaidi ya battery.
Hata ukianza ku compare models za makampuni mengine zinazo tumia Battery utaona wana fanya vizuri. Na hii imechangia Tesla kushuka mauzo 2020 baadhi ya sehemu za Europe. Tatizo haya makampuni makubwa walichelewa ku invest kwenye electric. Na ndio kosa linaloendelea kufanywa na Ferrari.

Mfano compare hizi SUV za makampuni mengine na Tesla:

Mercedes EQC:
View attachment 1674179Full battery ni 279 mile range, price approx £60,000

Jaguar I-PACE:View attachment 1674178
Full battery ni 298 mile range, price ni approx £58,000

Tesla model X:
dsc_0755.jpg

Full battery ni 251 -351 mile range, price inaanzia £74,000
"sioni justification ya TEsla kuwa thamani Mara 14 ya kampuni ya Mercedes zaidi ya battery"

Shida yako ni design au battery?
 
Hiyo gari isiyokuwa na dereva Tanzania itakosesha pesa traffic wakiisimamisha rushwa watamuomba nani?
 
"sioni justification ya TEsla kuwa thamani Mara 14 ya kampuni ya Mercedes zaidi ya battery"

Shida yako ni design au battery?
No, kinachonitatiza ni Market cap ukilinganisha annual income ukilinganisha na other outomakers!
Watu wanasema kwamba Tesla ina bright future kutokana na batri yao.
Nimeonyesha hapo juu hizi kampuni nyingine kama Mercedes wameanza kutoa electric models ambazo batri mile range hazina tofauti sana na Tesla lakini their cheaper than Tesla.

Hizi outomaker nyingine wakija na betri ambayo ni better than Tesla na tayari zina better infrastructure. Zita punguza mauzo ya Tesla.
 
Market Cap ya Tesla hyo na ya Daimler ambayo ndiyo Company inayomiliki Mercedes Benz,
Kwa upande huu wa Market Cap inaonyesha Tesla iko mara 11.14 zaidi ya Mercedes...
Screenshot_20210111-125456.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom