Nawashukuru sana kwa kutusaidia watanzania tunaotaabika kutafuta ajira mimi nimewatumia CV yangu kama siku tatu nne hivi zilizopita naamini mtaifanyia kazi na mtanijibu kama nastahili kupata kazi kwenu au la!
Asanteni Sana!

unataka akushukuru wewe??unawashukuru kwani umeshapata hiyo kazi?
Wewe ni mmoja wao huna lolote. Hicho ki-blog chenu kimejaa vitangazo vya kurudia mlivyovikopi kwenye site nyingine sasa mnatafuta kwa nguvu watu wa kukitembelea ili mpige michuzi.
Bado nawapa pole kwa kukosa akili, kama umeshatuma cv yako ina maana unayo anwani yao, vipi uje uwashukuru hapa kama sio umbea wa wale wachezesha karata 3 wanaojisambaza kujifanya wanacheza kumbe wote wamoja.
Baada ya kuchemka kwa suzan minja kuhusu muda, leo mmekuja na gap kubwa kidogo i.e 'siku tatu nne hivi'
mnaonaje mnipe dili niwasaidie kimipango? Msifanye mchezo, wizi unataka akili bana
unataka akushukuru wewe??
Ukiona hivyo ujue mwenzio keshapata job na wewe apply
Nawashukuru sana kwa kutusaidia watanzania tunaotaabika kutafuta ajira mimi nimewatumia CV yangu kama siku tatu nne hivi zilizopita naamini mtaifanyia kazi na mtanijibu kama nastahili kupata kazi kwenu au la!
Asanteni Sana!
WAPENDWA WATANZANIA WENZANGU MNAOTAFUTA KAZI KWA UDI NA UVUMBA
SULUHISHO LENU LIMEKUJA SASA ,TUMA CV NA BARUA YAKO patakazi2012@gmail.com,TUTAKUJIBU MARA MOJA N
NA NINAKUHAKIKISHIA UTAPATA AJIRA KIRAHISI SANA BILA KUCHANGIA FHARAMA ZOZOTE
AHSANTENI
George James
jamani namii nisaidieni nimeshatuma CV yangu hapo kwenu
jamani nami mniangalizie nafasi nimeshatuma CV kwa email ya info@patakazi.net
jamani hawa ni matapeli niliamua kuwatumia cv yangu ndani ya 30 minutes baada ya tangazo but hadi leo hii no e-mail no call..
utakuwa huna vigezo
njoo jumatatu uanze kazi
Wewe kama sio Gay basi lesbian..!mkuu g njoo faster uwajibu hawa wapiga deki naaona jana jaikutosha
ngojeni hapo hapo mwenyewe anakuja mtakimbia sasa hivi
Nyie wachaga wapuuzi kweli kweli! Yaani mmenichekesha nusura nifunje mbafu zangu.
Juha wa Kwanza anatangaza kazi zisizojulikana, anajifanya bonge la agent na kwamba very quick in response.
Juha wa pili anajifanya ametuma CV (16:52) halafu dakika 1 tu inayofuata (16:53) tayari ameshapigiwa simu kwa hiyo anshukuru. Hivi hata kama ndio ujanja ujanja, mbona msitumie akili hata kidogo?
Recruitment Agent na e-mail ya gugo kweli?!
Labda nimiulizeni tu, hizo CV za watu mnataka kuzifanyia nini jamini?