Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

kweli kabisa si vile vyuo vya uchochoron ambavyo malecture wote wanatoka india na nigeria waulize waliotoka uko uk vyeti wamevificha,wengine wmeshaanza kusoma magogoni na mwalimu nyerere memorio,sio mbaya maana kazi ya kutembeza vyombo barabarani nayo kaziiiiiii jamaani..kabagh
 
Tatizo hawa jamaa njaa wameibebea na mfuko wa nailoni kila mtu anaiona.
 
watu wa namna hii wanakuwa hawajui kuandika cv.sasa wanatumia hila ili watu wawatumie cv zao waangalie na kujifunza.
 

Tatizo watu wakishapata vikozi vya ujasiriamali wanahamasika kupita kiasi wanafikiri kuthubutu ni kuwa hata tapeli. Wajipange, rais mwenyewe kutengeneza ajira sijui milioni 1 ilikua ishu ya kampeni leo jitu linatangaza tuma CV kazi fasta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…