pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Wanapajua na nimelipa kwa kamouniSavannah, umeshafanyiwa survey? Ama umelipa tu hata kabla hawajafika nyumbani? Na umelipa no ya kampuni?
Sifahamu nimeona kwenye kipeperushiHaufahamu ni wapi ofisi zao zinapatikana?
Wewe nitakufa naoKwa maelezo yako acha upigwe kidogo...
Cc mahondaw
WeweWashakichapa tayari...😂
Eeeh ndio hao hao savanahSavannah, umeshafanyiwa survey? Ama umelipa tu hata kabla hawajafika nyumbani? Na umelipa no ya kampuni?
Unajua walipo au walipita njia wakakupiga sound ukatoa hela?Wewe nitakufa nao
Hawa wanapatikana wapi?mana tigo ukipata emergency utakoma,hawaji ng'o hao customer care wako busy kukwambia usubiri,utakaa hata wiki bila internetAisee sijui kimekukuta nini ila natumia internet yao hapa ina speed sijawahi kuona. Ikitokea emergency ukiwajulisha wanafika japo sio kwa muda ila wanafika.
Umeona kwenye kipeperushi, ukalipa. Ngoja nami niandae vipeperushi huenda nikajiokotea sadaka ya kujimaliza.Wewe nitakufa nao
59,000/=Shingapi?