Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
CHINA POLY GROUP CORP. ni kampuni ya kichina inayomilikiwa na serikali ya CHINA, Kampuni hii pamoja na mambo mengine inajishughulisha na utengenezaji wa vifaa vya kijeshi, vile vile kampuni hii kama nilivyosema kuwa pamoja na utengenezaji wa vifaa vya kijeshi vile vile ndiyo iliyopewa tender ya ujenzi wa PHASE 4 hapa KINYEREZI-DAR ES SALAAM-TANZANIA.
Kampuni hii itatoa hizo chopa kwa SERIKALI ila zitafanya kazi za CCM hii ni baada ya deal kugundulika mapema ambapo DR. Slaa ( Mungu Amlinde Sana ) alitoboa siri mapema.
Kampuni hii itatoa hizo chopa kwa SERIKALI ila zitafanya kazi za CCM hii ni baada ya deal kugundulika mapema ambapo DR. Slaa ( Mungu Amlinde Sana ) alitoboa siri mapema.