Kampeni za CHADEMA Moshi Mjini katika picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni za CHADEMA Moshi Mjini katika picha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Eeka Mangi, Sep 22, 2010.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wakuu nitajaribu kama net yangu itakuwa sawa. Nimepita pale uwanja wa Mashujaa na kukuta umati wa kweli. Nyomi ya kufa mtu. Kwa bahati mbaya niko on call hivyo sikuweza kukaa sana. Kaa mkao wa kupata picha hizo

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG] View attachment 14142 View attachment 14143
   
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,500
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Asant mkuu tunasubiri kwa hamu hizo picha za rais mtarajiwa.
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  [​IMG]

  Ziko njiani mkuu
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Dah si mchezo nyomi ya kutosha hawa wanakuja bila kupewa buku 2
   
 5. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Ni Slaa yupo Moshi leo au mzee Ndesa?
   
 6. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
   
 7. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wote mkuu wako Moshi uwanja wa Mashujaa. Sauti ya Zege kamwambia Salakana kuwa hata kuongea taabu. Eti viwanda kaua Ndesa.
  Kubwa zaidi ni hii ya kupiga yowe la kichaga! Kila akitajwa Kikwete "eeee uuuwiiiiiii" Salakana "Eeeuuuuwii"
   
 8. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
 9. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Hizi picha nimezipenda sana. Hakuna gari la kifisadi hapa! ujue ccm ni ya akina nani sasa. naombeni wananch mfunguke macho
   
 10. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwa miaka mingi sana watu walisubiri mtu wa kumpigia kura hawakuwa naye na kuishia kuipigia CCM kwa shingo upande, lakini mwaka huu wamempata naye ni Dr. Slaa. Inatia moyo kuona sasa siasa imekomaa kwa TZ, watanzania si mabwege tena. CCM muwe wazalendo mkubali kushindwa kama mtashindwa na si kubadili matokeo. Waacheni watanzania waamue nani wanataka awaongoze na si kuwapangia. Slaa tunakuombea ushindi uko wazi mwaka huu.
   
 11. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Duh! Hapo Mashujaa Mkuu?
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Pamoja na unafuu wa hali ya kimaisha kilimanjaro wana support upinzani,LINDI pamoja na umaskini wote ndio wanaongoza kuichagua CCM!AIBU!
   
 13. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wacha wafe kwa umaskini wao. Salma mwenzao/ndugu yao kila siku yuko kwenye mashuka ya watu mikoani.
   
 14. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asanteni wana kilimanjaro
   
 15. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  safi sana
   
 16. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Nimefanikiwa kushuhudia the last 15mins of the meeting. Observation zangu:-
  1. Turn out ilikuwa ya kufa mtu, mchanganyiko wa vijana wa kike na kiume na kundi kubwa la akina mama machinga ambao wana machungu ya kunyanayaswa sana hapa Moshi
  2. Watu hawakuletewa walikuja wenyewe
  3. Campaign materials kama scarf, CDs na tapes, badge etc zilizokuwa zinauzwa uwanjani na CHADEMA zilinunuliwa kwa wingi na watu wa rika na jinsia zote. I could spots hundreds of people wearing the SLAA badge, ambayo ilikuwa inauzwa shs.1000. Hivyo watu wanajitoa kuchangia mapambano.
  4. Nilichofurahia, SLAA will be live on air leo saa tatu on Moshi FM 90.20 ambapo atahutubia na kujibu maswali yatakayoulizwa live kupitia simu. Hivyo ataweza kuwafikia wananchi wote wa Kilimanjro , Tanga na Sehemu za Arusha BILA ZENGWE la Radio za Mafisadi
  5. Mtu pekee wa TV niliyeemuona uwanjani alikuwa Salim Mwalimu wa Channel, I hope watairusha hewani taarifa ya mkutano huu.
   
 17. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Nilijua tu Kilimanjaro hawadanganyiki washawapiga chini jamaa wa kijani!
   
 18. D

  Dopas JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante kwa jitihada, walau sasa tunakuwa update.
   
 19. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Chadema mutawadanganya kilimanjaro tu miaka nenda miaka rudi lakini ccm hawana ubaguzi shule, hospitali, tutawajengea na kuzidi kuwaletea maji matamu zaidi.

  kura kwa kikwete na ccm!!!!!!
   
 20. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  wewe MF hapa nimecheka kama sina akili nzuri ... ha ha a ha mbavu zangu
   
Loading...