Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 19,944
- 60,769
Wazo zuri sana.Hii programu inaenda kimkakati sana, kama mbio za mwenge vile. Utasikia ipo mkoa fulani mara imehamia mkoa ule. Kwanini isifanyike pote Tanzania kwa wakati mmoja? Alafu ijipe muda wakufanya mapitio na kuandika ripoti?.
Au ni fungu halitoshi?
Sasa tutajuaje Leo IPO mkoa gani ?
Kuna watu wamechukuliwa ardhi zao kwa nguvu na matajiri ...huku baadhi ya viongozi Serikali ya mtaa wakiwatetea matajiri ..
Hili ndio pungufu kubwa la hii kampeni. Ilipaswa iwe inapatikana nchi nzima kwa wakati mmoja.Sasa tutajuaje Leo IPO mkoa gani ?
Kuna watu wamechukuliwa ardhi zao kwa nguvu na matajiri ...huku baadhi ya viongozi Serikali ya mtaa wakiwatetea matajiri ..
Nadhani kwakuwa tunaanza watayachukuwa maoni hayaHili ndio pungufu kubwa la hii kampeni. Ilipaswa iwe inapatikana nchi nzima kwa wakati mmoja.
Shukrani MkuuNadhani kwakuwa tunaanza watayachukuwa maoni haya
Maoni yako yamechukuliwa kwa uzito mkubwa sana. Unaweza kuendelea kutoa maoni ili wahusika waweze kuboreshaShukrani Mkuu
Asante VS for this, ilipoanza nilitoa ushauri ufuatao Uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign - Sheria ya Ardhi ni ya Mwaka 1999 na Sio 1995KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NI NINI?
Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia
(Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala, na masuala yahusuyo haki za binadamu kwa ujumla.
#MSLAC ni mchakato wa kupata ushauri au msaada kutoka kwa wataalamu wa sheria ili kutatua masuala ya kisheria au kupata ufafanuzi kuhusu haki na wajibu wa mtu. Kampeni Hii inajumuisha mambo kama vile ushauri wa kisheria, msaada wa kisheria au uwakilishi wa kisheria katika mahakama.
View attachment 2867082
MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN
KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NI NINI? Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) im...mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com
Hii ni Kampeni ya Kisheria mdani yake kuna wanasheria wabobezi. Watu wenye mahitaji watasaidiwa sana na kampeni hii.Kumbe Samia ni advocate siku hizi!
Elimu ya sheria imekuwa rahisi sana.
Asante VS for this, ilipoanza nilitoa ushauri ufuatao Uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign - Sheria ya Ardhi ni ya Mwaka 1999 na Sio 1995
P
Ushauri Wangu kwa Kampeni Hii
Mimi kama mtu wa habari na publicity, kampeni hii ni jambo jema, jambo kubwa na jambo zuri, tatizo ni Watanzania wengi hawajui haki zao, hivyo nashauri, watekelezaji wa kampeni hii, waandamane na media kila waendapo, media itangaze kila kinachofanyika, sio tuu ili kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi, bali pia kutoa fursa ya kutoa elimu ya sheria na elimu ya haki kwa Wananchi.