MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,604
Express yourself.Ooh tutumie tigo
Express yourself.Ooh tutumie tigo
We tongoza yule binti ya Jiwe Jeska uone.Ona huu ujinga yani umeshabebwa na mazwazwa ya kisiasa tayari?
Wewe una siri gani Mpaka voda wahangaike kuliweka hadharani?
Pumbavu kabisa! Basi usitumie simu kabisa, maana kama una baya lolote utapatikana tu.
Mm siwezi kuhangaika eti nisuse mtandao kisa huo ujinga wenu wa siasa. Hivi kwa akili yako unafikiri kuna mtu anahangaika na kufuatilia kutongazana kwako kila siku na kina mwajuma.?
Kususia kwako hakuna athari zozote ni sawa na kutishia kuchota ndoo moja ya maji kwenye bahari eti utaikausha bahari.Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
noma sana , ila hii imefanya spidi ya neti kuwa ya kasi zaidi maana workload imepunguaNajiulizaga sAna wanaotumia voda wanamudu vip vifurushi vyao, kwani ni ghali sana
yajayo yanafurahisha je uko tayari?Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
mzee na ww unahamasisha tigoo ?Ooh tutumie tigo
Lazima mjue Rostam karudi nchini na ni mwanaccm.Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
HIvi kuna watu bado wantumia Vodacom?Tangu nilipomsikia musiba akisema voda ilikuwa mali ya CCM toka hapo niliacha kutumia voda