Kampeni ya kuikataa Vodacom

Wakuu nilikuwa sijui kuwa CCM ni wamiliki ila nimekerwa kuruhusu kuingilia mawasiliano ya MTU mwingine na kukubali kublock no ya Kabendera Mimi nalitupa laini LA vodacom.
Hawa Voda ni washenzi walishawahi kuwa mashahidi kwenye kesi ya Lema na ku expose mawasiliano yake tuwakatae tuwatie hasara,watanzania huu ndiyo muda Wa kuwasulubu vodacom.
 
Hii ndo faida ya musiba wengine walikuwa hawajui kwamba kupayuka kwake kutaleta faida. Line ya voda tupa kulee fyekelea mbalii
Ningefurahi sana kama wote tunao miliki line za VODA tungefanya kama wewe hapa, of course mi nimeisha fanya ivyo, mambo yote yapo line zingine, VODACOME tupilia mbali kule. Hawaheshimu privancy za watu na sisi tuwaadhibu kwa njia hiyo tu, period
 
Bora nimejua kumbe nikinunua bando nachangia CCM, asante kwa kunisaidia hilo.
 
Umekurupuka jombaa...
 
Nyie ndio mnatumika na mabeberu,haya nenda kwenye kampuni za simu za mabeberu
We utajua nini kwenye ulimwengu wa watu wenye akili wakati akili zako ziko kama jina lako tu. Ambacho ni kiungo cha sehemu nyeti za mwanamke
 
Kwa kitendo chenu cha kudukua mawasiliano ya akna Membe mmejitia KITANZI wenyewe . Watu maelfu wanaendelea kuwaacha, hamfai na mko hovyo.Mimi nimeshaweka chip yenu pembeni.
Hukumbuki lile sakata la Tala ilivyokua
 
Hii si mara ya kwanza.nyumbu kuhamasishana kukataa voda
 
Amri halali lazima Jaji apitishe sio mtu anajiamkia asubuhi anasugua pvmbv zake tu anavamia simu za watu!

Hakuna ruhusa ya kudukua simu za watu wewe!

You are such a b1tch kiasi kwamba kama Jiwe anapita you will go down to your knees and give him a b-job!

Yaani sijui yule mwandishi kageuka terrorist lini kama sio uonevu?

Kibaya jitu kama wewe upo humu kutetea use of too much power to police innocent people?Yaani sijui lini utakuja kutetea watu wanyonge??/

Kwanini mnaonesha kiwango kikubwa cha uoga namba hii?Mtaua wangapi mjione mpo sawa?
 
Sensitive buyers always neglet anonymity price increase
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…