Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kwa hiyo VodaCom wanawiwa kukisaidia chama cha CCM hata kwa kuvunja sheria? Kama ndivyo hili kampuni ni majanga.
 


Wajinga tu ndiyo mna chukua maneno. Vodacom imeshauzwa kwa Vodaphone na sio kampuni ya Tanzania. Kuna share chache sana ziliuzwa pale DS exchange lakini wachache walinunua lengo la Magu ilikuwa ukiuza stock kwa uma inabidi uripoti kwa uma mapato hivyo lengo ni kodi sio share. Rostam alikuwa na share Vodacom lakini aliziuza kwa Vodaphone kabla ya 2015 na kumfanya awe $Billionea
 
Customer privacy and cookies policies za makampuni ya simu zinasemaje kuhusu kutoa taarifa kwa third party? Mara zote matakwa yanayopewa na serikali kutekeleza yanakuwa ndani ya ile inayodaiwa ni sheria ya usalama ya nchi husika. Wao ni nani hata wakatae kutii "amri halali" waliyokubali kuitii walipoomba leseni? Vodacom wanajuaje kuwa nyuma ya amri hii kuna utekaji unaoenda kufanyika? Mnataka ku-victimize bure kampuni ya watu badala ya kupigia kelele matumizi mabaya ya sheria halali.
 

Mataga ni ugonjwambaya kuliko Hepatitis
 
Mm nilishawakimbiaga siku nyingi sana
 
Voda ni ghali sana yaani hawa jamaa wanadhani watu wote wana helA
 
Hii ndo faida ya musiba wengine walikuwa hawajui kwamba kupayuka kwake kutaleta faida. Line ya voda tupa kulee fyekelea mbalii
Unasema kitu ambacho unajua kabisa huwezi fanya. Unatumia voda sababu ya huduma zao, siyo kwa sababu ya mmilili. Nyumbu
 
OK kwa hiyo ccm mnatukana wateja
 
Kwa hiyo katika ulimwengu wa ushindani wa kibiashara akitokea subscriber
mshindani? akatangaza usalama wa faragha kwa wateja, si chama chetu kitaiangusha kiashara kampuni yetu??
 
Mi nasubiri tamko LA Vodacom juu ya mkataba wetu wa usiri wa faragha, vinginevyo nitaachana nao ili wajifunze, nguvu ya soko huria ni customer care and satsfaction, siyo siasa uchwara
 

Hao VODACOM wako juu ya Mamlaka husika ya TCRA? Yaani hadi Umri huo ulionao hujui ya kwamba endapo Mamlaka husika ( Executive ) itahisi Jambo linaloweza Kuhatarisha Amani kwa Taifa ( Kiusalama ) zaidi basi inaweza na hadi ina Mamlaka yote ya Kuchukua hatua au hata Kumchukulia hatua Mmiliki wa Simu au Mtandao? Hivi kwanini Watu wengine hapa Mtandaoni ( Wewe ukiwemo ) uwezo wenu wa Kufikiri na Kuchambua mambo ( Issues ) ni mdogo sana? Na Wewe eti hapo ulipo unajiita Msomi na umepita kabisa Chuo Kikuu.
 
Mi nasubiri tamko LA Vodacom juu ya mkataba wetu wa usiri wa faragha, vinginevyo nitaachana nao ili wajifunze, nguvu ya soko huria ni customer care and satsfaction, siyo siasa uchwara
Nyie ndio mnatumika na mabeberu,haya nenda kwenye kampuni za simu za mabeberu
 
Voda ndio vinara, mwaka huu tu kwa taarifa yao wenyewe kwa msukumo wa dola wamedukua simu za wateja wake mara 1000! Shame on them and you too.

Bahati nzuri Kwangu na mbaya Kwako Mimi situmii Mtandao huo wa Vodacom, hivyo Kunilalamikia Kwako hivi na hadi Kunihusisha nao ni sawa sawa tu Unapiga Kofi Maiti Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…