Kampeni ya kuikataa Vodacom

Ukiwa na halotel au airtel ndio hutadukuliwa? Tuache masihala kwenye mambo ya hatari
Tunaanza na huyu anayeruhusu udukuzi ufanywe na wahuni! Udukuzi unafanyika lakini sio kihuni huni namna hii! Watu huwa wanadukua kwa serious national security issues lakini sio kwa issue za kipumbavu kama za mwenyekiti wa chama kuhisi eti anafanyiwa kampeni ili asigombee tena 2020!
 
Vp maxence Melo angewaza Kama ww huko mahakamani anako sota kila siku????
 
MNGEANZA NA UDUKUZI WA KUBENEA NA KOMU ULIOWAFANYA WAVULIWE MADARAKA,HAPO MNGEKUWA NA HAKI YA KUPIGA KELELE LAKINI KWA KUWA MNA UGONJWA WA KUSAHAU ENDELEENI KUJAZA SERVER ZA MAXENCE
Huo udukuzi wa Komu na Kubenea ulifanyika kupitia mtandao gani wa simu?!
 
Siyo siri kua serikali karibia zote zinamonitor mawasiliano ya watu wake.

Wakati mwingine hata serikali ya nchi C humonitor mawasiliano ya nchi A.

AU ilikua ikiibwa taarifa zake na serikali ya China. Sijawahi kusikia nchi yeyote imeishtaki China. Na China wamefuatilia hizo taarifa illegally.

Vifaa vya Huawei inasemekana vinakusanya data mbalimbali bila wewe kujua na kuzipeleka kwa serikali ya China. USA imezuia maofisa wake wa serikali kutotumia bidhaa za Huawei. Hapa Tz sijaona katazo.

Vitu serious kama hivyo ambavyo vimefanywa illegally hakuna mtu yeyote Tz ambaye amevisemea. Voda imetenda kwa kufuata matakwa ya serikali, JF ilipishana na serikali na tunajua ilikua off air kwa muda gani.

Same shit happening to Voda ingekua na hasara kuibishia serikali kuliko kuitii kisha watu wachache kuhimizana kuiacha Voda.

Mtu mwingine atanipa mfano wa Apple kugoma kutoa password ya Iphone 5 ya yule gaidi. Lakini naomba ajiulize Apple wanaoperate nchi ya namna gani na Voda wako nchi ya namna gani.
 
Kwa nini uteseka kila mtu si yupo huru kutumia Mtandao aupendao? Au hata huko mnataka kuleta UDKTETA WENU UCHWARA?
Thread nyengine nii za KIJINGA SANA
 
Bora umemjibu kistaarabu,me ningemjibu hovyo sn huyu bullshit.


Mbona unahaha? Sisi tunahamia tigo ili tuwafundishe voda namna ya kutunza privacy za wateja. Wakitufuata huko tunahamia kwingine. So usipende kututisha, tuna uhuru wa kuhamia mtandao wowote
 
Naona watumishi wa voda wamelipwa per diems zao sasa wanafanya kazi ya kutishia wananchi, nendeni mkamshitaki musiba, sio kulazimisha wananchi watumie mtandao wenu wa voda
 
Same shit happening to Voda ingekua na hasara kuibishia serikali kuliko kuitii kisha watu wachache kuhimizana kuiacha Voda.
"-----watu wachache kuhimizana kuacha voda"? Unajua ni wangapi?
 

No...mjinga ni wewe!

Mjinga kiasi kwamba unaona ni halali raia yoyote awaye yote no matter his or her position adukuliwe?

Mtu kua na cheo nchi hii kunamuondolea haki yake ya kutodukuliwa?Kisa?Kisa ana cheo?Kasema nani?Lipumbavu moja linaitwa Crimea?

Mwandishi mnyonge na mkewe ananyanyasika na simu yake kwa kosa gani?

Mimi nina private conversations na kiongozi yeyote pia anazo km mwanadamu yeyote yule!Kama alivyo mumeo Jiwe pia

Eti dunia nzima inafanya hivyo,umesema wewe!

Who cares what you or me say?

Hoja za kipumbavu ksbisa kuhalalisha udukuzi kwa watu no matter who they are!Unaweka exceptions wewe nani?Hata kama tukubali exceptions zako which are unjust,limits za hizo exceptions nani anajua hazivukwi?
 
Tatizo lako ni kubwa sana kichwani either hujui nini ya huu upumbavu ulio uandika au hujui madhara ya dharau zako ilizo zionyesha kwenye huu uzi wako na madhara yake kwenye hiyo kampuni unayo itetea.

Akihama mtu mmoja kutoka kwenye huo mtandao tena mwenye wafuasi zaidi ya tuseme 20000 mtu kama Lema unadhani hao wafuasi wakimfuata kampuni inapoteza mapato kiasi gani?

Jaribu kutumia akili kabla ya kuandika huu ujinga wako na ndiyo maana watu wa hiyo kampuni wamekaa kimya hawajakurupuka kama wewe kwani wanajua madhara yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…