Kampeni ya kuikataa Vodacom

USIVUNJE LINE YA VODA BILA KUKOPA TUWATIE HASARA KWANZA MBWwA HAWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahah
 
Eti Tuikatae voda wewe na nani
Na mtandao upi Utumie labda hama nchi
Ukafanye kinyume na utaratibu lakini Hakuna sehemu utakimbilia ukawa salama kama wewe ni mvunjifu wa sheria na taratibu wa Nchi
Nani alievunja sheria? Sheria ipi iliyovunjwa?
 
Mkuu hawa wengi ni wateja wa Tigo au Airtel. Hakuna mteja wa Vodacom hapo.Kwanza unajua kubadili line kwa sababu za KIPUUZI sio rahisi?Kama mtu anaweza renew line kusave tu watu muhimu wasipotee, Leo anaweza vunja line kisa upuuz wa wanasiasa kudukuliwa?
 
Ni mjinga na limbukeni atakaueungana na hii kampeni
Hakuna mtandao ulio salama kwenye issue ya kudukuliwa.
 
Vodacom ni ghari lkn kwa mtumiaji wa internet hawezi hama Voda. Achana na hawa internet ni kuingia JF.Kuna muda unahitaji internet ya kasi umalize shughuli zako mapema, sasa kuna mtandao bora kwa internet zaid ya Voda?
 
Vodacom ni w-a-s-e-n-g-e......wanatoaje siri za wateja bila ridhaa ya mteja?ushenzi tu huu mamayo zao
 

Na hii itawezekana kwa kususia kampuni za simu. Viva 😉😎
 
Voda wanatakiwa kujisahihisha
 
Jamani seriously tukusanye ushahidi wa kutosha kulishtaki hili limtandao kwa mama yao Taasisi ya kimataifa ya udhibiti wa mawasiliano. Baada ya Lowasa na yule mkuu wa mafisadi Rostam kupatana na dictator sasa wanatumika!! Tukusanye ushahidi wengine ni wazoefu tuwashtaki kwa mama yao haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…