Kampeni maalumu ya kuwakataa Machawa wote JF

Kampeni maalumu ya kuwakataa Machawa wote JF

Humu Jamii Forum inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasome machawa kwa machawa.
Nipo ontime sana mwashamba nimempa ignore na tlaatlaa muda sana kuna chiembe nk nao soon nawapa ignore
 
Nilishawaambia tuache kucomment kwenye vinyuzi vyao vya hovyo. Ila utakuta mnaenda kibao kujibizana nao, hao watu hawana akili, njaa sana. Sasa watu wa hivyo wa kazi gani.

Kuna niliowaignore, kuna ambao sisomi nyuzi zao kabisa, kuna ambao bado, nawavutia muda. Ukiona nyuzi za machawa 💩 usicomment wapelekee 🤬 tembea.

NO REFORMS NO ELECTION.
 
Kama hii ng'ombe inaweka comment mashudu halafu inaweka na kanyani mwisho huwa inanikera sana
Huyo Tlaatlaah ni Dc wa kisarawe
IMG_1516.jpeg
 
Back
Top Bottom