Kampeni huru za UKAWA 25,September - 25,October

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Mwana ukawa yeyote kuanzia leo Tarehe 25/09/2015_25/10/2015 unaombwa kumnadi mgombea wetu Edward Lowassa ili aweze kushinda Uchaguzi Mkuu Mwezi Ujao.

Ni muhimu kuwaelezea kiundani zaidi hasa watu wa vijijini kwani wamedanganywa na mgombea wa ccm kuwa wakiichagua Chadema nchi itakuwa kama Libya, Hivyo kwa uelewa mdogo wa watu wa vijijini wameingiwa na uoga na kurudisha majeshi nyuma [fear of unknown] kwa juhudi zako tunaomba kura 5 kutoka kijijini kwako, tunaamini kama kwa sasa tupo milion 4.1 na kila mtu akaongeza watu watano inamaana tutafika million 20.5 ambayo ni sawa na asilimia 89 ya watu wote million 23 waliojiandikisha kupata vitambulisho.

Nawasilisha.
 
Ni muhimu kuwaelezea kiundani zaidi hasa watu wa vijijini kwani wamedanganywa na mgombea wa ccm kuwa wakiichagua Chadema nchi itakuwa kama Libya, Hivyo kwa uelewa mdogo wa watu wa vijijini wameingiwa na uoga na kurudisha majeshi nyuma [fear of unknown] kwa juhudi zako tunaomba kura 5 kutoka kijijini kwako, tunaamini kama kwa sasa tupo milion 2.3 na kila mtu akaongeza watu watano inamaana tutafika million 11.5 ambayo ni sawa na asilimia 97 ya watu wote waliojiandikisha kupata vitambulisho.

Nawasilisha.

Tayari nimepata kura 5 kutoka familia jirani (yangu zamani sana).

Mimi napiga familia kwa familia, na wananielewewa kwa kutumia ushawishi mdogo tu wa AHADI bila vitendo miaka yote (meli, viwanja vya ndege, vyuo vikuu, uchumi wa kati, maisha bora nk).

Kubwa zaidi kwa vijijini ni kupaa kwa bei ya MAFUTA ya TAA, hata vikongwe vijijini wanafeel effect.
 
mimi tayari nimeandaa kura 22 za watanzania, ikiwa ni kura 15 kutoka kwa waliokuwa wanaccm huku mjini, na kura 7 kutoka kijijini 3 kwenye familia, 4 kwa majirani
 
Nilikuwa na jamaa yangu leo nikielekea town. Yeye siku zote ni CCM damu. Mbele yetu kukawa na roli la maji. Nikamwambia miaka hamsini ya uhuru bado tunasambaza maji kwa vidumu, halafu watu bado mnapigia kura CCM? Eti jiji kubwa kama hili zaidi ya asilimia 50 ya watu wanategemea maji ya vidumu?

Kwa safari ya leo tu nimefanikiwa kubadili fikra mmoja, hadi tar 25 nafikiri nitakuwa nao wengi.
 
ahsante mkuu.
 
Kijijini kwangu wanahasira ya Dr. Slaa kutowasikiliza wazee waliotumwa kumsihi asiache kazi na mbaya zaidi pale alipowaambia wachague ccm aliyowahubiria kuwa ni mafisadi kwa miaka 20 iliyopita.

Kwa hiyo Lowasa kwa vijiji vya wilaya Karatu ana ushindi wa zaidi ya 70%.
 
Asante mkuu tutafanya hivyo ila rekebisha hizo asilimia 97 za wapinga kura. Wamejiandikisha takriban milioni 23
 
Nimeshawashawishi ndugu zangu huko kijijini tabora wamenielewa kwanza reli imekufa barabara hakuna Umeme hakuna maji hospital nk. Ilikuwa ngumu lakini nimewasihi ccm tangu wamechaguliwa hawajawahi kufika Kwetu kutoa suluhisho la matatizo mpaka kipindi cha uchaguzi
 
mpuuzi wewe nyawara sisi mwaka huu hatuogopi vitisho ni mwendo wa mabadiliko kupitia ukawa wewe hujachelewa bado toroka uje.
 
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: Lowasa for change
 
Good. Mimi nina watu kumi hadi sasa na nitaenda now kituoni. Tafadhali kila mtu akipata watu wake 10 tu nchi tunachukua malofa saa mbili asubuhi.

Kingine cha msingi ni kuwahi kituoni. Najua kuna wenzetu mama ntilie, bodaboda na machinga....... hebu please tupige kura ndo twende kwenye mishe zetu.

LOWASAAAAAAAAAAAAAAA....................................................................MABADILIKOOOOOOOOOOOOOOOO
 
nimefanikiwa kumbadilisha jirani yangu jana mimi pomoja na familia yake tulijumuika kwa chakula chajioni
ilikua ni furaha ilioje
 
Mwana ukawa yeyote kuanzia leo Tarehe 25/09/2015_25/10/2015 unaombwa kumnadi mgombea wetu Edward Lowassa ili aweze kushinda Uchaguzi Mkuu Mwezi Ujao.

Ni muhimu kuwaelezea kiundani zaidi hasa watu wa vijijini kwani wamedanganywa na mgombea wa ccm kuwa wakiichagua Chadema nchi itakuwa kama Libya, Hivyo kwa uelewa mdogo wa watu wa vijijini wameingiwa na uoga na kurudisha majeshi nyuma [fear of unknown] kwa juhudi zako tunaomba kura 5 kutoka kijijini kwako, tunaamini kama kwa sasa tupo milion 4.1 na kila mtu akaongeza watu watano inamaana tutafika million 20.5 ambayo ni sawa na asilimia 89 ya watu wote million 23 waliojiandikisha kupata vitambulisho.

Nawasilisha.
usiwe na shaka maana hata huko vijijini hawaelewi libya ndo wapi na nini kilitokea.
 
Nimeshawashawishi ndugu zangu huko kijijini tabora wamenielewa kwanza reli imekufa barabara hakuna Umeme hakuna maji hospital nk. Ilikuwa ngumu lakini nimewasihi ccm tangu wamechaguliwa hawajawahi kufika Kwetu kutoa suluhisho la matatizo mpaka kipindi cha uchaguzi

asante na Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom