Kamisaa Aliyetaka Watu 40,000 tu leo

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
1. Ajue Capacity ya Uwanja ni 60,000

2. Ajue kwamba anatuingilia uhuru wetu na kunyima haki ya nafasi ya watu 20,000 ambayo ni nafasi inayoakisi matumizi ya rasilimali za walipa kodi wa nchi yetu

3. Ajue kwa kufanya hivyo anatengeneza mianya ya rushwa maana ikishafika'hiyo idadi' walinzi wataanza kutoza kiingilio watu waingie

4. Ajue ni jambo lisilowezekana maana kama tumeshindwa tiketi za kieletroniki itakua ngumu kuhesabu 'hiyo idadi'

5. ajue hakuna usalama wowote anaouzuia maana watu 40000 ni wengi kuliko 20000

6. aje na hoja mbadala hata kama ndizo tiketi zilizolipiwa tu

7.
 
Ujamaa aliondoka nao Nyerere. Cha muhimu toka kazini mapema uwahi siti yako. Atakaye kosa siti atasikiliza kwenye vyombo vya habari. Mpira sio chakula useme utakufa njaa ukikosa mechi.
 
Back
Top Bottom