Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,510
nakubaliana na wewe kwa 100% hili kundi litolewe ni virus kwenye nchi hiii!Jambo la kutilia maanani hapa ni kuhakikisha kuwa kikundi hiki hakifanikiwa hata kidogo kwani madhara yake ni makubwa na yana mgusa kila mtanzania bila kujali itikadi yake ya siasa. Uwe CDM,CUF,TLP,CCM au usiwe na chama impact yake utaipata tu kwani hata sasa nadhani twaonja utamu wake kupitia mgawo wa umeme ambao ni zao lao kupitia Richmond.
Ya uchaguzi wa 2015 tuyaweke pembeni tu deal na maendeleo ya nchi kwa sasa kwani badala yake wabunge,mawaziri,makatibu wakuu na viongozi waadamizi wa serikali wanakalia kuharibu tu kazi.
Wenye nafasi za maamuzi hebu wachukue hatua sasa.