Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

Uraisi uliambiwa ni kama mashindano ya umiss wanaangalia mvuto Lowasa ndo ana mvuto?

Lowassa ni kiongozi shupavu na mifano yake mmeiona shule za kata, sasa hao wako hata majimbo yanawashinda itakuwa nchi.
 
Lowasa hizo shule alijenga na pesa zake za mfukoni?
 
Rais wetu ni lowasa tu wengne tupa kuleeeeeeeeee....ccm wakmtosa watajua watanzania na tutampa urais ata kuptia chama kimojawapao cha ukawa au mgombea bnafs....ata akgombea kuptia TADEA au TLP sisi shda yetu ni lowassa si ccm

Lowasa labda akagombee uraisi wa WAMA
 
Siku zote hazikuwepo na pesa zilikuwepo mbona hawakutoa hiyo idea??

Lowasa ni mchafu ataendelea kuwa mchafu daima hata mngemwosha na magadi hawawezi kung'aa .kutoa idea ndo umeona alifanya la maana watoto wake wamesoma kwenye hizo shule za kata?
 
Sasa hao viongozi wa chama chako walichofanya cha maana ni nini miaka 33 tangu chama kimeanzishwa bado wamepanga mtaa wa ufipa chimbo la mateja hata majimbo yamewashinda.
 
Hayo maigizo yameisha
 
Hii mada inahusu kambi ya Lowasa kuchanginyikiwa ukitaka inayohusu viongozi wa CHADEMA kaanzishe mada yako.
 
Sasa hao viongozi wa chama chako walichofanya cha maana ni nini miaka 33 tangu chama kimeanzishwa bado wamepanga mtaa wa ufipa chimbo la mateja hata majimbo yamewashinda.
Mateja wapo ccm ndo maana mwenyekiti wenu wa ccm alimsadie Rays matibabu bure akawaache mateja wengine kama wewe na wote wanaomtetea mbunge wa monduli.
 
Back
Top Bottom