Mwenyekiti magh
Member
- Jan 28, 2015
- 31
- 2
Lowassa mwisho wa woote
Nilichokigundua ukawa na wafuasi wake wanamuogopa sana EL kabla hata hajatangaza nia, maana hali halisi wanaijua EL hana mpinzani kama ataamua kugombea.
Mkuu siyo ukawa Ni ccm,lowassa hapo aliko wapinzani wake wanapata tabu SNA ndani ya ccm hawalali usingizi membe ndio anaye anayaandaa uzushi huu,anamtegemea mama salma amsaidie kwenye mbio
Kama ccm yenyewe haina mungu, itakuwaje Lowasa ambaye ni mwana ccm awe na Mungu!Hii mada kaianzisha makonda nini?WATASHINDANA SANA LAKINI HAWATASHINDA KAMWE!!! LOWASSA YU NA MUNGU
Lowassa is thief, anapoteza hela zake bure mpaka atafilisika na kujikuta anakufa kwa pressure
Mi nafikir labda akawe RIAS WA WAMAMkuu Membe nae anamatumaini kabisa ya kuongoza nchi hii.?
Itakuwa kichekesho rais wetu 2015-2025 ni EL cha msingi tumuombe agombee tu.
Mi nafikir labda akawe RIAS WA WAMA
EL ni kama maji, usipoyaoga utayanywa tu, hakuna wakushindana nae nje na ndani ya CCM.
Lowasa kwenye ufisadi anatisha.
Baba yako ache kufa kwa pressure kwa kusalitiwa na mama yako lowassa ndio afe kwa pressure unaota kweli
Lowasa kwenye ufisadi anatisha.
Ushahidi hakuna ni kuchafukiana majina tu ila hakika EL ni kiongozi makini.
utavalilishwa sketi mwanaume WW!!alimfisidi mama yako.watanzania wanajua rais ajaye Ni lowassa
Baba yako ache kufa kwa pressure kwa kusalitiwa na mama yako lowassa ndio afe kwa pressure unaota kweli
Kiongozi makini kwenye wizi