Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

Upanga Mkali uko sahihi kwa kiasi fulani...hawa UKAWA wanangoja ile GOLDEN CHANCE....wakimuacha Lowassa tu wamekwisha..Jaji Augustino bara hawatamkubali pia aliwachinjia wazee wastaafu wa EAC baharini mpaka leo wazee hawajalipwa haki yao MORE THAN FORTY YEARS.
 
Lowasa kura yangu kapata na sihitaji hata shilingi moja yake.
 
kwani lowasa ni mgonjwa ?. mbona asemi hadharani anaumwa nn ?

mbona anaonekana yupo fit.
 
Thabo mbeki...alitumia kila mbinu kuzima jitihada za Jacob Zuma...

~liliundwa kila zengwe ndani na nje ya chama cha ANC

~Kesi za kijinai...tuhuma lukuki za kifisadi n.k

~lakini hadi leo Jacob Zuma ni raisi wa SA.

~Jakaya Mrisho kikwete hakuwa chaguo la Benjamini william Mkapa. Lakini kutokana na mikakati ya madhubuti ya J.K.Kikwete hadi sasa ni rais wa JMT.(na hadi sasa ndie fisadi no.1)

~sasa kwa mtu makini anayefuatilia siasa za kiafrika...ni dhahiri hadi sasa Edward Lowasa si wa kumpuuza hata kidogo.(Umaarufu,mtandao wa wapiga kura ndani na nje ya chama bado anaongoza kwa nguvu mno).
 
CCM mnaudhi saaana, mtoa mada tunajua mbinu zenu za kuchafuna, na wewe ndo mmoja wao. Cant you stay quite once, au posho zinawadrive mropoke
 
Ukiona mtu anamtetea Lowassa ujue ni mmasai au ni njaa tu inamsumbua
Rais wetu ni lowasa wengne tupa kule....

hii stor imeletwa na joka la mmdmu nawahakkshia wagombea wa ccm watamuunga lowasa mkono membe ajui kua kikwete anamuhtaji lowasa kuliko yeye na Jk anamfanyia kiini macho ili kumfuraisha frst lady na mtoto wake riz aliyepandkziwa chuki na membe ili amchukie lowasa......

ila membe anasahau kuwa utatu wa lowassa..Jk na rostam umeanzia mbali na una siri nyingi..time will tell....membe huyu ambaye ata uchaguz wa 2005 aliomba msaada wa gar la kampeni kwa rostam na akapewa uchaguz ulipoisha akapewa unaibu wazri akaona ameonewa whle ni mdhaifu....baada ya kuiba pesa za gadafi kajiona anafaa kua rais? Shame on him...joka la mdmu halifai ata kua dc
 
Wapuuzi unaleta mada mwenyewe na kujioji mwenyewe na kujionya mwenyewe....basi jtekenye mwenyewe kweli team mdmu hamna jipya
 
Rais wetu ni lowasa tu wengne tupa kuleeeeeeeeee....ccm wakmtosa watajua watanzania na tutampa urais ata kuptia chama kimojawapao cha ukawa au mgombea bnafs....ata akgombea kuptia TADEA au TLP sisi shda yetu ni lowassa si ccm
 
Upanga Mkali,

Wewe ndiye uliye mwongo! Ni punguani tu anayeweza kuamini kuwa Lowasa anaungwa mkono na wabunge 15 tu! Inafahamika kuwa ndani ya ccm EL ndiye anayewanyima usingizi! Mbinu za kumdhoofisha zote huwa zinashindwa .

Hata dhana ya kujivua magamba mlengwa mkuu alikuwa ni Lowasa! Kama ni suala la usafi, huko ccm nani anayeweza kujinadi kuwa yeye ni msafi? Watanzania tunajua kila kitu na tunaamini Mungu atahukumu kwa haki.

Si umeona jinsi escrow ilivyowavua watu nguo! Kwa Mungu hakuna kilichositirika ambacho hakitawekwa wazi, ni suala la muda tu! Kwa taarifa yako watanzania tunamwomba Mungu na tunamwamini kuwa atatoa hukumu ya haki na atatupa Rais atakayetufaa kwa kipindi hiki.

Hakuna mtu au chama kilicho na hati miliki ya kuongoza nchi yetu.
 
Last edited by a moderator:
We can not bank on a "dying" president!! the guy is sick wajameni...

We mzima? Asiumwe Lowassa amekua malaika? Labda mi sielewi hivi kuna magonjwa akiumwa mtu hafai kuwa raisi eeh?
 
Sauti ya weng ni saut i ya mungu...lowassa anaungwa mkono na watanzania wengi nje ya itikadi za vyama vya siasa,dini,kabila n.k
na mnaosanifu hoja za kufifisha jina lake mnapoteza nguvu zenu bure nadhani mmejitoa ufahamu kwa ajili yakuwafurahisha mnaowataka/kuwatumikia ili muonekane mnafanya kazi

vivaaaaa.....enl
 
Haikatazwi mtu kuamini anachoamini ila ukweli ni kwamba team Lowassa tunazidi kuchanja mbuga. Mtasubiri sana sisi kukata tamaa.
 
Mzee Mamvi kama anaona Prof kikwete kamuua ni heri amwage mboga mapema ili ccm wale ugali kwa chumvi, lakini kama atasubiri hadi muda wa kampeni atakuwa amechelewa sana!
 
Back
Top Bottom