OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Endeleeni kujazia maiti damu Lowasa mwambieni ni ikulu hakuna wodi ya wagonjwa
Kiongozi makini kwenye wizi
Nilichokigundua ukawa na wafuasi wake wanamuogopa sana EL kabla hata hajatangaza nia, maana hali halisi wanaijua EL hana mpinzani kama ataamua kugombea.
Hakuna alichoiba, ni kiongozi shupavu hana woga ndiye kiongozi pekee aliyewaambia wa Misri maji ya ziwa Victoria tutayatumia kama hawajaridhika tukutana International Court of Justice.
Lowasa hana ubavu wa kushindana na moto wa. UKAWA hata siku moja mshaurini Lowasa apumzike afya yake ni mbovu sana
Anakubalika huyu ndugu....hazuiliki huyu ndugu
Kwa nini alijiuzuru uwaziri mkuu ???
Labda awe raisi wa WAMANdo madhara ya ndoa za utotoni umeozeshwa bado mdogo sn kutokana na hali ya maisha,subiri mwezi oct utashudia EL akila kiapo kuingoza TZ kwa miaka 5.
Ni fitna tu za kugombe u waziri mkuu.
Nilichokigundua ukawa na wafuasi wake wanamuogopa sana EL kabla hata hajatangaza nia, maana hali halisi wanaijua EL hana mpinzani kama ataamua kugombea.
Ushahidi hakuna ni kuchafukiana majina tu ila hakika EL ni kiongozi makini.
Umeandika uchafu gani richmond ilikuwa ya kwako?
Hapo ukawa ni nani mwenye ubavu wa kusimama na Lowassa.??
Unaweza kuhisi unajua kumbe hujui au ushabiki unakupofusha!
Hapo ukawa ni nani mwenye ubavu wa kusimama na Lowassa.??
Wapo wengi sana hata Lema
Mkuu kwani propaganda ni nini?
Hii vita we unataka kuikimbiza mbio, iongelee kwanza hapo nyumbani lumumba! maana ndo kuna mtifuano