Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

Lowassa kama anamaamuzi magumu ajitoe kugombea urais asije aibika bure!
 
ARUSHA na mikoa yote iliyopo juu ya RELI bado wanamkubali huyu Bwana.Hata kwenye jirani ya Kenya anakubalika sana na kabila la Wamasaai.Uwezekano bado ni mkbwa saana wa EL kuteuliwa na chama.

Nyie ndo walewale mnasema huku eti anakubalika na Wamaasai! Kwa LIPI Lowassa ni Mmeru, so kwa Wamasai bado ni OLMEKIII. Sema Wamasai wanavutiwa na Nyama na hela za Lowassa
 
Lowassa,Lowassa hadi kero
Kila kukichaLowassa, Lowassa, oooo mtu mawazo yake binafsi tu anakujana kusema ametumwa na wanainchi katikaeneo lake mfano mkoa au kanda amshauri lowassa agombee Urais.
Lowassa jamani hafai, mtu anayejitajirishakwa kutumia wadhifa wake katika utumishi wa umma hafai kuwa kiongozi kwa sababusiyo mfano wa kuigwa, yaani kuiba mali za umma siyo sifa ambayo inafaa mtumwingine aige.
Lowassa kuwa kiongozi wa ofisi ya juu kutavutiawezi wenzie kuinajisi ofisi hiyo, yaani kama ukifuga fisi tegemea fisi wenziekumtembelea fisi mwenzao hawezi kutembelewa na swala.
Jamani Lowassahafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Kikwete, Mangula hebu mwambieni huyo mtu kwamba hanasifa za kiti cha urais, anaweza mambo mengine na siyo urais, ni nyie mnamlealeamnamchelewesha mpeni sure za moja kwa moja na wala siyo mafumbo mafumbo
CC.

  1. Jajaya Mrisho Kikwete
  2. Jack Zoka
  3. Philip Mangula
  4. Abdrahiman Kinana
  5. Benjamin Mkapa- Uliwakemea maaskofuukasema na majoho yao haiwezekani serikali tatu kwa sababu baba wa taifaalikataza mbona Lowassa humkemei? Mnafiki wee.
  6. Ali Hassan Mwinyi
  7. Nape Nnawiye
  8. Delvis Adolf Mwamunyange
  9. Ernest Hamis Mangu
  10. JohnKomba-na unafiki wako, kama Lulu Michael kakukomba mali zote usitegemee uibukiekatika kumpigia dabe fisadi Lowassa, kufa na lywako
  11. RostamAzizi –ikulu siyo pango la walanguzi unatumia mapesa yako ya wizi ili umwekeLowasaa ikulu ili uwe ndio uchochoro wako.



 
na bado watadata sana kambi hizoo zotee si ya LOWASSA tuu hata za wapinzani wake pia
 

Wapi ametukanwa, kuambiwa ukweli nako ni kutukanwa?!!! Mbona katibu wa Nyerere ameshamaliza mchezo wote!! Sasa mnamtishia Maisha, Mbona kambi ya JAMBAZI mnatumia nguvu sana? Mmeona pesa inakwenda kushindwa sasa mmeanza kutumia vitisho.
 
Nimeona taarifa ya habari saa moja hii viongozi wa kimila wa kimasai( leigwanani) wamekubalia kuwa hawakotayari kuchaguliwa mbunge wasiyemtaka !!!!!!
 
Mtoa Mada na ww upo Kambi gani naona na ww kazi uiwezi jipange upya bila ivyo kibarua kitaota nyasi
 
Lowahasa kuwa Rais wa nchi yangu haitatokea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…