Kambi ya Lowassa kazini: Askofu Laizer aunga mkono Lema kuondolewa Arusha!

Kilichotokea ndani ya chumba ni baina ya Lulu na kanumba kwa vyovyote vile uzito wa kesi utategemea maelezo ya Lulu. I m sure she will be free very soon.

Hakuna ajuaye nn kilitokea lkn watu wengi wanamhukumu huyu binti, nakubaliana na wewe akipata lawyer mzuri anachomoka...
 
...naunga mkono hoja,huyu binti asipojikanyaga kwenye maelezo ya awali...ATACHOMOKA TU MBELENI
 
Babylon
If indeed what transpired was an accident, why shouldn't she be free!!???Acheni sheria imuhukumu mtoto wa watu instead of making these suggestive inflammatory comments. She is probably going thru hell now bila ya watu ku-add their two cents and unsolicited judgments!
 
Kilichotokea ndani ya chumba ni baina ya Lulu na kanumba kwa vyovyote vile uzito wa kesi utategemea maelezo ya Lulu. I m sure she will be free very soon.

Hilo haliwahusu watu wengi kwa sasa. Kinachosumbua ni msiba ulioko mbele ya wafiwa. Kama hana kosa bila shaka atasimulia kile kilichotokea na yamkini kuachiwa huru, lakini sio leo wala kesho.
 
Babylon
If indeed what transpired was an accident, why shouldn't she be free!!???Acheni sheria imuhukumu mtoto wa watu instead of making these suggestive inflammatory comments. She is probably going thru hell now bila ya watu ku-add their two cents and unsolicited judgments!
You will never avoid that whether it was intentional or without deliberation until the court proves otherwise.
 
How do you know she will get away with something, how do you know she is guilty ?, what would you suggest deserves to happen to her? (am sure she is going through hell right now no matter what happened in there).., put yourself in her shoes and at that age, when everyone sees her as a pariah...!!! (please cut the girl some slack)
 
Mpaka itakapojulikana kuwa hana hatia, atakuwa ameshasota jela kwa muda usiopungua miaka miwili.
 
Si vyema kumkebehi askofu kwa kuwa ana miono kutoka mbinguni, heshimuni viongozi wa dini tusije pata matatizo katika taifa letu.

ndugu yaNGU KUWA NA BUSARA HATA KAMA HUNA HEKIMA.ASKOFU SI MUNGU NI BINADAMU WA KAWAIDA, HANA UCHAJI WOWOTE AISIPOKUWA NA ROHO MATAKATIFU HATAMWONGOZA.HIVYO ATAHESHIMIKA TU PALE ATAKAPOTUMIA HEKIMA NA BUSARA KUONGOZA KONDOO.;LAKINI MAASKOFU WANGAPI WAMETUMIA MAKANISA KAMA KICHAKA CHAKUFANYIA MAOVU KAMA KUUZA UNGA?KUGOMBANIA MALI NA FEDHA ZA KANISA?KUTUMIA KUPITISHA MALI BILA KULIPIA KODI KWA KISINGIZIO CHA KANISA ,KUMBE MALI BINAFSI?ATAHESHIMIKA IWAPO ROHO WAKE ATATAMKA HEKIMA YA KUONGOZA
 
mazingira ya tukio,ukizingatia walikuwa wawili na ni wapenzi,ana nafasi kubwa though siamini kama ataweza kunyoosha maelezo yake sawa sawa
 
You will never avoid that whether it was unintentional or without deliberation until the court proves otherwise.

Ozzie
Pls be advised that the intent was not trying to avoid the judgements but rather, shine light on other side of the coin as well. i.e just because Lulu is not the one who is dead, it does not mean she is immune to all this scrutiny and speculation. I'm sure she, like any and/or all is going thru the emotions we are if not more! Maana after all she did loose her loved one!
 
The minimum charge she could get is manslaughter. Ila autopsy ndiyo itakayomuweka free LULU. Kama marehemu akikutwa na internal injuries kwenye brain inawezachukuliwa kuwa ni ajali na LULU kama ataeleza kuwa walikuwa kwenye ugomvi na alikuwa anashambuliwa na marehemu na hivyo kumsukuma katika kujihami ndiyo akaanguaka na kufariki basi atashitakiwa kwa kuua bila kukusudia. Ila kama mwili ukiwa na sharp object hole na kuthibitika kuwa ndiyo chanzo cha kifo hapo itakuwa ni ngumu sana kwa LULU.

Ila bado ninaamini kuwa LULU is Innocent na tumuombee kwa mungu maana kipindi hiki anachopitia na umri wake na jinsia yake na umaarufu wake ni kipindi ambacho kinaweza kumfanya akachukua maamuzi mabaya zaidi kama akiachwa. Vyovyote itakavyokuwa ni kwamba Kanumba is gone!, tumuombee kwa mungu kwani nasi tupo njia moja.
 
Back
Top Bottom