Kamati ya Uongozi wa Bunge yakutana Kwa Dharura

Hahahahhahaha baada ya kuona hamna jinsi mmekuja na hiyo.Bado sana CCM mnamengi ya kutujibu Majmabzi wakubwa nyie,bado mnataka kutumia raslimali muda na pesa kupongeza upuuzi
Hahaha JPM kawashika pabaya sanaaa,mmekuwa kama vifaranga wa kuku hamjui pakushika,mmeishiwa ajenda mnabaki kupingapinga tu kila kitu.

Magufuli ni moto wa pumba,mtanyooka tu iwe ndani au nje ya bunge,Kawaachia ajenda moja tu mliobaki nayo ambayo ni Ya Misiba na rambirambi.Hafi mtu tens.
 
eti kumpongeza, Bunge linatakiwa lichukue hatua baada ya kupongeza, liangalia namna ya kuwavua ubunge wale wote waliotutia hasara na waiosema ndiooo wakati mikataba ya kinyonyaji inapitishwa...
 
Hahaha JPM kawashika pabaya sanaaa,mmekuwa kama vifaranga wa kuku hamjui pakushika,mmeishiwa ajenda mnabaki kupingapinga tu kila kitu.

Magufuli ni moto wa pumba,mtanyooka tu iwe ndani au nje ya bunge,Kawaachia ajenda moja tu mliobaki nayo ambayo ni Ya Misiba na rambirambi.Hafi mtu tens.

Nani aliyemshika pabaya mwenzake??For 19 yrs Lissu amekuwa mtetezi wa raslimali madini pamoja na wahanga wanao kaa karibu na migodi hiyo bila hata kulipwa senti.

Ati yule aliyepiga makofi wawakiwa wanapitisha miswada mibovu,wakiwa ndani ya cabinet wanapitisha mikataba mibovu tumfanyie sherehe ati Mzalendo,mzalendo my foot.

Hapa aliyekuwa anatakiwa kupongezwa ni Lissu rafiki fanyeni lolote mtakalo fanya lakini we are with Lissu and Upinzani.Ombeni radhi watanzania acheni blah blah.Hizo blah blah pelekeni Lumumba mlikozoea kuiba.

Mmeambiwa kama kweli nyie wazalendo pelekeni mikataba yote hata ya kivuko kibovu,nyumba za serikali,ununuzi wa ndege,ule mjengo kule chato.Msiufanye watanzania wapuuzi.
 
Ingekuwa sahihi kama kamati ingefanya kikao cha dharura na kutangaza kujiuzuru kwa mlolongo wa madude waliyoyaongoza yafanyike. Hiyo ndio accountability. hichi wanachokifanya ni unafiki wa kupindukia na raisi asikubali kupokea pongezi hizi toka kwa watumbuliwa watarajiwa!
 
Wawaalike na wasanii ili kuwapa burudani ya nyimbo. Najua KUB na Mnadhimu mkuu kambi ya upinzani ni wajumbe wa kamati ya uongozi, ila sidhani kama wanaweza kujidhalilisha kuhudhuria tukio hilo la kitoto na kijinga kupata kutokea
 
Back
Top Bottom