Kamati ya Uongozi wa Bunge yakutana Kwa Dharura

Kuwa Na Akili Ya Kiccm Inahitaji Kuwa Mwehu,wanampongeza Kwalipi?Wameshasahau Kiitikio Chao Kikubwa Kilichoingiza Taifa Kwenye Janga! Cha ndiooooooyo,vp Kuhusu Bombadier?Alileta Mbungeni?Naona Haikupata Baraka Za Ndiooooyo,,,,wabunge Wa Ccm Ni Bora Kutuma Chekechea Bungeni Kwani Nawao Wanaweza Kuitika Ndioooooyo,,,,,hovyo Sana Hawa Wabunge
 
All my adult life I have never been pro CCM or let me say unscrupulous politicians ready to do anything in their own interests and never listen to good advice just because it has been given by the other side.

What I meant to say is why are they behaving like this is new information while they were warned so many times by so many people? How forgetful can they be? How many hearts do they have to act so cruel without compassion for misery and suffering of the masses?

Political kick my dear brother
 
Sasa hapo wanakutana vipi kwa dharura wakati kila kinachoenda kujadiliwa kishajulikana.
na wana mpa zawadi ya nini wakati yeye anafanya mambo hayo kw auzalendo wake mwenyewe..?
chamsingi tumuunge mkono mh JPM kwa haya aliyoyafanya kwani anaanza kuvivaa viatu vya babu Nyerere
na sokoine.
Nyerere yupi,labda yule Stive Nyerere wa Bongo movie.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
wampe zawadi ya kukagua na kupitia mikataba yote tata ya serikan na watoe mapendekezo,,,hiyo ni zawad nzuri mpaka mbele za mungu,,,otherwise chenga
 
Huu nao ni upuuzi mwingine, yaani wao waliokuwa wanapitisha sheria za kuidhurumu nchi na tena kwa kuwafukuza ndani ya bunge wale wote walionesha kwamba hiki kinachofanyika siyo sahihi, eti leo hii wanataka kutoa tamko la kumpongeza rais. Niwashauri kitu wanapotoa statement ya kumpongeza rais watoe na nyingine ya kuwalaani wote waliopelekea kuwa na sheria za hovyo namna hiyo.
 
Ni upuuzi wa kulaaniwa na kila mwenye akili timamu ! Nani hakujua madudu haya na walioyafanya si hao hao wa ndiyooo..!!
Si mawaziri waligawanywa na kuzunguka mikoani kuelezea uzuri na utamu wa sera na sheria hizi na hao hao ambao leo wanataka tulie machozi eti tunaibiwa lkn hapo hapo tukae na wezi mezani kuongea.

Hapa wala hatusemi mgodi ufungwe na uzalishaji usimame kwa vile hawasajiliwa, tunaongelea pumba wakati mzigo wenyewe bado unavunwa na kusafirishwa na eto BOT hawana rekodi...!!

Hawa hawa, na huyu huyu huyu supika leo eti anafanya nn ?? #@#%%#@@$%^%$#@@
 
Inauma sana. Kwani watanzania nani katuroga? Hizo pongezi wanataka kutoa kwa kazi gani hasa zilizofanyika? Wezi wamekamatwa? Mikataba imepitiwa? Mali ikiyoibwa imerejeshwa? Kipi hasa cha kupongeza?
 
Back
Top Bottom