Kamati ya Uongozi wa Bunge yakutana Kwa Dharura

Sasa hapo wanakutana vipi kwa dharura wakati kila kinachoenda kujadiliwa kishajulikana.
na wana mpa zawadi ya nini wakati yeye anafanya mambo hayo kw auzalendo wake mwenyewe..?
chamsingi tumuunge mkono mh JPM kwa haya aliyoyafanya kwani anaanza kuvivaa viatu vya babu Nyerere
na sokoine.
 
Kupoteza muda na raslimali bure maana hao wabunge ndiyo hao hao waliopitisha miswada mibovu,leo wanapongezana hata sijui wanachopongezana upuuzi mtupu.

Sifa mahali ambapo hakuna cha kusifia.Miaka 19 walikuwa busy kuwatukana wapinzani,leo madini yanaisha ati tupongezane.
 
Huu ni ujinga mwingine. Kamati ya maadili badala ya kumjadili mbunge mwenzao, joka lenye makengeza, ambalo limetajwa waziwazi kwenye ripoti, eti sasa linakaa kumpongeza rais. Mfyuu.
 
Kupoteza muda na raslimali bure maana hao wabunge ndiyo hao hao waliopitisha miswada mibovu,leo wanapongezana hata sijui wanachopongezana upuuzi mtupu.

Sifa mahali ambapo hakuna cha kusifia.Miaka 19 walikuwa busy kuwatukana wapinzani,leo madini yanaisha ati tupongezane.
Sawa mke wa rahisi Tieloesi.Lissu
 
Back
Top Bottom