nyangasese
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 129
- 22
MImi ninachowalaumu viongozi wa chadema ni jazba na kutofuata utaratibu?nani kasikia waliyokuwa wanayasema hawa jamaa?Eti wanataka wakamng'oe mkurugenzi kwa maandamano! This is a craizy decision! Toka lini watumishi wa uma wakuajiriwa wakang'olewa kwa maandamano ya makundi ya kisiasa?JE! tukiruhusu makundi mbalimbali yakiona hayaridhishwi na utendaji wa mtumishi fulani (wa kuajiriwa;si wa kisiasa) yawe yanavamia halmashauri na kumuondoa huku ana mikataba nakadhalika unadhani tutakuwa tunafanya mambo ki taalam au kwa emotions! unadhani ni nini matokeo yake?unadhan hali ya usalama wa watumishi wa umma itakuwa je?unadhani ni nini majukumu ya vyombo vya usalama?Rais mwenyewe anaweza kufika mahali akakuta mtendaji flani hafanyi vizuri;anachofanya si kumuondoa bali kuagiza mamlaka inayohusika imchukulie hatua.Sasa ninichojiuliza kwamba kama chadema hawana tabia ya kufuata utaratibu na kuheshimu vyombo na mifumo vilivyopo(Institutional and structural framework) pamoja na mgawanyo wa majukumu na madaraka, wakiwa nje ya serikali; sijui wakiwa wao ndo viongozi wa serikali itakuwaje?Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na mkuu wa wilaya ya Nyamagana, ambaye pia ni kada maarufu wa CCM amemuamuru kamanda wa polisi wilaya(OCD) kuwakamata mara moja wabunge wa Chadema, Ezekiel Wenje na Highness Kiwia kwa kile kinachosemwa kuwa walitoa matamko ya uchochezi katika mikutano yao
CHADEMA wao wanapingana na kila mtu serikalini.sio kwamba ndo wanaanza na mkurugenzi leo.WAlianza na kikwete alipochaguliwa kuwa raisi.walisema hawamtambui bila maelezo ya kueleweka. Slaa alipohojiwa BBC kuhusu kutomtambua Kikwete akawa anajichanganya mpaka watangazaji wakawa wanacheka!,Kikwete alipofika bungeni wakamsusia; wakakoka nje eti wanachungulia madirishani!, waliposhindwa hila zao hizi wakaamua kumtembelea ikulu kisha wakaanza hila nyengine.Ndio sababu kwenye katiba ijayo hatutaki misukule inayoitwa wakuu wa wilaya. Hii mindondocha iko pale kuitumikia CCM.
hata tukiondoa ma DC; CHADEMA watampinga yeyote atakayekuwepo.Huy dc ana elmu kias gani?bado hakumsikia boss wake Kikwete kuwa ccm wasitegemee police? mwisho wa hawa ma DC ni 2015 by katiba mpya.
chadema wao wanapingana na kila mtu serikalini.sio kwamba ndo wanaanza na mkurugenzi leo.WAlianza na kikwete alipochaguliwa kuwa raisi.walisema hawamtambui bila maelezo ya kueleweka.
Slaa alipohojiwa BBC kuhusu kutomtambua Kikwete akawa anajichanganya mpaka watangazaji wakawa wanacheka!,Kikwete alipofika bungeni wakamsusia; wakakoka nje eti wanachungulia madirishani!, waliposhindwa hila zao hizi wakaamua kumtembelea ikulu kisha wakaanza hila nyengine.
Mara ngapi wamekuwa wakipingana na wakuu wa mikoa?wakielekezwa jambo "A" wao wanasema sisi tutafanya "B" tuone watatufanya je? mara ngapi wamekuwa wakiwapinga polisi akiwemo IGP?(Kwa hiyo kwa mtitazo wa chadema ;kama ni kutaka kuwaridhisha;basi tuondoe wakuu wa wilaya.mikoa,rais,polisi n.k).
Kwa hiyo Chadema wanataka watu waamini kwamba wao tu tu ndo wenye akili, wao tu ndo wenye haki,wao tu ndo wasomi, wao tu ndo wanaojua lakini wao tu ndo wanaodhulumiwa.Chadema wanataka kutuaminisha kwamba wao ni zaidi ya serikali,wao ni zaidi ya polisi, wao ni zaidi ya sheria.
Chadema wanataka kutuonesha kwamba wao wanaweza kufanya lolote watakalo bila kuulizwa na yeyote.Chadema wanataka watanzania waamini kwamba,watumishi wa umma hawana akili wala hawajasoma,wanasheria hawajui walitendalo,viongozi wa serikali hawajasoma na hawana akili sawasawa na polisi kadhalika hawajui walifanyalo.Watu wenye fikra za namna hii ni watu wa hatari kwa taifa lolote lile na "kama tukitegemea watu hawa ndo watakaoikomboa tanzania; tutakuwa watu maskini kupita watu wote".
.........
wanalipwa kwa ujira wa ile bizinesi ya pembe za nduvu,chezea kinana weyenaona vijana wa lumumba leo mmejaa huku, kachukueni ujira wenu kwa nape
Bila wao kuwa na msimamo huo kungekuwa na mchakato wa kupata katiba mpya? Angalia vitu vya msingi walivyo kuwa wana vipigania siyo kuleta siasa zaidi kwa mambo ya msingi.......
hivi mbunge anaruhusiwa kuvunja sheria mpaka spika atakapo sema akamatwe?mbunge akiwa nje ya bunge akivunja sheria anashughulikiwa kama kazi ndo maana hata chenge alivyogonga mtu na gari alikamatwa.Ameomba kibari kwa SPIKA cha kuwakamata WABUNGE? Au hiyo in apply kwa Wabunge wa CCM tu.
argue dont shout.ona msivyokuwa na hoja. kumbe ninyi huwa mpaka mlipwe ndo mnaongea pointi?naona vijana wa Lumumba leo mmejaa huku, kachukueni ujira wenu kwa nape
ndio sababu kwenye katiba ijayo hatutaki misukule inayoitwa wakuu wa wilaya. Hii mindondocha iko pale kuitumikia ccm.
wasaka tonge.ndo maana lema anasema wakishindwa uchaguzi 2015 wanaenda msituni.sijui msitu gani?kwani uongo??c wameonekana live itv etc wanachochea wananchi kufanya vurugu ...na pia juzi tumemsiki nyerere musoma anawachochea wananchi kuvamia ofisi ya dc.... Inavyoenekana cdm siasa zinawashinda au walichokitaka wanachokitaka kinashindwa kufanikiwa sa wanatumia njia za vurugu
chadema wao wanapingana na kila mtu serikalini.sio kwamba ndo wanaanza na mkurugenzi leo.WAlianza na kikwete alipochaguliwa kuwa raisi.walisema hawamtambui bila maelezo ya kueleweka.Slaa alipohojiwa BBC kuhusu kutomtambua Kikwete akawa anajichanganya mpaka watangazaji wakawa wanacheka!,Kikwete alipofika bungeni wakamsusia; wakakoka nje eti wanachungulia madirishani!, waliposhindwa hila zao hizi wakaamua kumtembelea ikulu kisha wakaanza hila nyengine.Mara ngapi wamekuwa wakipingana na wakuu wa mikoa?wakielekezwa jambo "A" wao wanasema sisi tutafanya "B" tuone watatufanya je? mara ngapi wamekuwa wakiwapinga polisi akiwemo IGP?(Kwa hiyo kwa mtitazo wa chadema ;