Kamati ya ulinzi na usalama Mwanza yaamuru wabunge wa CHADEMA wakamatwe

Ninachokiona hapa ni ccm kutaka kulivuruga taifa letu kwa kisingizio cha amri za viongozi wa serikali kama wakuu wa wilaya,wakuu wa mikoa nk. Kwa wawakilishi wa wananchi, kama wabunge. Wakuu wa wilaya na mikoa na makada wataliangamiza taifa letu kiushabiki. Kukamata wabunge lengo ni kuivuruga mwanza na cdm. Ccm ni janga, mungu aepushie mbali.
Nafikiri hao wakuu wa polisi nao wanatakiwa kupima hizo amri wanazopewa na ma DC. Si kila amri ni halali.
 
UNAPOSEMA UMMA UNAKUSUDIA NI chadema?kumbuka wanaoenda kumuondoa ni wafuasi wa chadema tena baada ya kuchochewa na kushawishiwa na wenje na kiwia! ndo maana nasema chadema wanataka watuaminishe kwamba "wao ni katika yote,ndani ya yote na juu ya yote'.Nje ya chadema hakuna chochote.Chadema wanaposikia au kulizungumzia neno "umma" au "wananchi" wanaelewa ni wao tu ndio wananchi.Hizi ni fikra za kitoto,kivivu,kibinafsi na kizandiki zinazolenga kuwajengea dhana potofu watu wasio jua mambo sawa sawa.
kwa hiyo umma ni ccm?.mkuu mbunge ni mwakilishi wa wananchi,walichofanya wabunge
wa mwanza ni sahihi,kuongea na wananchi na kutafuta mawazo yao namna ya kumwondoa mkurugenzi ni sahihi,kikatiba. Ninachoona ni ccm kuvuruga demokrasia ya vyama kwa kupitia wakuu wa wilaya na mikoa. Ccm ni janga, mungu aepushie mbali.
 
UNAPOSEMA UMMA UNAKUSUDIA NI chadema?kumbuka wanaoenda kumuondoa ni wafuasi wa chadema tena baada ya kuchochewa na kushawishiwa na wenje na kiwia! ndo maana nasema chadema wanataka watuaminishe kwamba "wao ni katika yote,ndani ya yote na juu ya yote'.Nje ya chadema hakuna chochote.Chadema wanaposikia au kulizungumzia neno "umma" au "wananchi" wanaelewa ni wao tu ndio wananchi.Hizi ni fikra za kitoto,kivivu,kibinafsi na kizandiki zinazolenga kuwajengea dhana potofu watu wasio jua mambo sawa sawa.
Basi mkuu usitoke povu tuta generalize kwa sababu CCM unayo itetea wamejimilikisha taifa la Tanzania kama lao migodi wanachukua percent kibao!!! Wameiba fedha na mali zetu wameficha nje ya nchi, wakisemwa wanauwa watu ili wasiseme ukweli sasa wanataka kuweka ndani wabunge wetu, watoto wao wamewamilikisha serikali mpaka wengine ni mawaziri kina Makamba!!! Watoto wao ni wezi wa mali zetu tena usiseme maghorofa wanajenga bila woga wala aibu, mengine wamenunua huko Ulaya!!!CDM isiseme wala kuwaelewesha wanachi ikisema inaleta machafuko, wewe unaishi dunia gani au na wewe ni mmja wao???? Wachana na wezi wewe angalia ukweli nduguzo Watanzania wako hoi bin taabani!!!!

 
MImi ninachowalaumu viongozi wa chadema ni jazba na kutofuata utaratibu?nani kasikia waliyokuwa wanayasema hawa jamaa?Eti wanataka wakamng'oe mkurugenzi kwa maandamano! This is a craizy decision! Toka lini watumishi wa uma wakuajiriwa wakang'olewa kwa maandamano ya makundi ya kisiasa?JE! tukiruhusu makundi mbalimbali yakiona hayaridhishwi na utendaji wa mtumishi fulani (wa kuajiriwa;si wa kisiasa) yawe yanavamia halmashauri na kumuondoa huku ana mikataba nakadhalika unadhani tutakuwa tunafanya mambo ki taalam au kwa emotions! QUOTE]

Umesema vema ila ulimsikia Nape na Viongozi wenzake wa CCM kwenye mkutano wao hapo hapo Mwanza baada ya Mkurugenzi wa Tanesco na Tanroad kutoudhuria mkutano wa CCM? Nao si walisema watawafukuza kazi? Sasa wapi bora? hawa watakaoandamana kushinikiza aondolewe ama hawa watakaomfukuza Kazi kabisa? hahah Tanzania zaidi ya uijuavyo
 
CHADEMA wao wanapingana na kila mtu serikalini.sio kwamba ndo wanaanza na mkurugenzi leo.WAlianza na kikwete alipochaguliwa kuwa raisi.walisema hawamtambui bila maelezo ya kueleweka. Slaa alipohojiwa BBC kuhusu kutomtambua Kikwete akawa anajichanganya mpaka watangazaji wakawa wanacheka!,Kikwete alipofika bungeni wakamsusia; wakakoka nje eti wanachungulia madirishani!, waliposhindwa hila zao hizi wakaamua kumtembelea ikulu kisha wakaanza hila nyengine.

Mara ngapi wamekuwa wakipingana na wakuu wa mikoa?wakielekezwa jambo "A" wao wanasema sisi tutafanya "B" tuone watatufanya je? mara ngapi wamekuwa wakiwapinga polisi akiwemo IGP? (Kwa hiyo kwa mtitazo wa CHADEMA ;kama ni kutaka kuwaridhisha;basi tuondoe wakuu wa wilaya.mikoa,rais,polisi n.k).

Kwa hiyo CHADEMA wanataka watu waamini kwamba wao tu tu ndo wenye akili, wao tu ndo wenye haki,wao tu ndo wasomi, wao tu ndo wanaojua lakini wao tu ndo wanaodhulumiwa. CHADEMA wanataka kutuaminisha kwamba wao ni zaidi ya serikali,wao ni zaidi ya polisi, wao ni zaidi ya sheria. CHADEMA wanataka kutuonesha kwamba wao wanaweza kufanya lolote watakalo bila kuulizwa na yeyote.

CHADEMA wanataka Watanzania waamini kwamba,watumishi wa umma hawana akili wala hawajasoma,wanasheria hawajui walitendalo, viongozi wa serikali hawajasoma na hawana akili sawasawa na polisi kadhalika hawajui walifanyalo.Watu wenye fikra za namna hii ni watu wa hatari kwa taifa lolote lile na "kama tukitegemea watu hawa ndo watakaoikomboa tanzania; tutakuwa watu maskini kupita watu wote".
Kwani sasa hivi sisi ni matajiri?? Si kila siku tunaona hali ngumu ya maisha kwa kila mtanzania inaongezeka. Au hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania??? Acha kuchekesha walionuna
 
mkuu wa wilaya std 7.kahongwa ukuu wa wilaya.hana kazi ya kufanya.wakamateni tukawatoe
 
Tatizo kubwa ni wajumbe wanaounda hiyo kamati. mwenyekiti anaangalia usalama wa chama chake. Kwa miundo kama hii tutasikia matamshi mengi sana.
 
Yote haya yanatokana na Quote: JJ Bungeni: na Udhaifu wa Raisi Jakaya Mrisho Halfani Kikwete,Uzembe wa Bunge na ujinga wa wabunge, nchi lazima iendeshwa kwa utawala wa sheria sio kila kidude kinaweza kikasimama na kutoa amri kama vile hawana mfumo wa utawala bora,kuna siku mtu ataamua kumchalaza viboko Kikwete mbele ya kadamnasi akiulizwa atasema kasema lugha za uchochezi kwa anavyokandia upinzani yaani skiu hiyo nitakula na kunywa
 
Ndio sababu kwenye katiba ijayo hatutaki misukule inayoitwa wakuu wa wilaya. Hii mindondocha iko pale kuitumikia CCM.

haswaaa! Na nilikereka sana pale mbunge mmoja wa Magamba mama mdogo wa Le Mutuz alipolazimisha hawa mandondocha ndo wasimamie katiba! Damu ikimwagika na iwe juu yake na familia yake
 
hivi mbunge anaruhusiwa kuvunja sheria mpaka spika atakapo sema akamatwe?mbunge akiwa nje ya bunge akivunja sheria anashughulikiwa kama kazi ndo maana hata chenge alivyogonga mtu na gari alikamatwa.
Mkuu wa wilaya Konisaga na Mkurugenzi Kabwe hapo Mwanza wanatakiwa kuondolewa mara moja ni mumiani wa haki za wananchi na kisa ni kwa sababu ya wizi na 10% wanazopata kwenye miradi Kabwe amebakizwa hapo kwa ajili ya interest za wakubwa na visiwa anavyotaka kuuza ziwani,
 
Kaka konisaga nini kimekupata..mbona ulikuwa smart sana kwenye mambo yako...usifanye hivi bana
 
Kaka umetoa Maoni(it begins with you)? Je umewashawishi na wengine watoe pia kwa sababu frequency matters . Isije kuwa ule Ugonjwa wetu wadanganyika wa kutofanya jambo na kutegemea Matokeo mazuri!
Ndio sababu kwenye katiba ijayo hatutaki misukule inayoitwa wakuu wa wilaya. Hii mindondocha iko pale kuitumikia CCM.
 
CHADEMA wao wanapingana na kila mtu serikalini.sio kwamba ndo wanaanza na mkurugenzi leo.WAlianza na kikwete alipochaguliwa kuwa raisi.walisema hawamtambui bila maelezo ya kueleweka. Slaa alipohojiwa BBC kuhusu kutomtambua Kikwete akawa anajichanganya mpaka watangazaji wakawa wanacheka!,Kikwete alipofika bungeni wakamsusia; wakakoka nje eti wanachungulia madirishani!, waliposhindwa hila zao hizi wakaamua kumtembelea ikulu kisha wakaanza hila nyengine.Mara ngapi wamekuwa wakipingana na wakuu wa mikoa?wakielekezwa jambo "A" wao wanasema sisi tutafanya "B" tuone watatufanya je? mara ngapi wamekuwa wakiwapinga polisi akiwemo IGP? (Kwa hiyo kwa mtitazo wa CHADEMA ;kama ni kutaka kuwaridhisha;basi tuondoe wakuu wa wilaya.mikoa,rais,polisi n.k). Kwa hiyo CHADEMA wanataka watu waamini kwamba wao tu tu ndo wenye akili, wao tu ndo wenye haki,wao tu ndo wasomi, wao tu ndo wanaojua lakini wao tu ndo wanaodhulumiwa. CHADEMA wanataka kutuaminisha kwamba wao ni zaidi ya serikali,wao ni zaidi ya polisi, wao ni zaidi ya sheria. CHADEMA wanataka kutuonesha kwamba wao wanaweza kufanya lolote watakalo bila kuulizwa na yeyote. CHADEMA wanataka Watanzania waamini kwamba,watumishi wa umma hawana akili wala hawajasoma,wanasheria hawajui walitendalo, viongozi wa serikali hawajasoma na hawana akili sawasawa na polisi kadhalika hawajui walifanyalo.Watu wenye fikra za namna hii ni watu wa hatari kwa taifa lolote lile na "kama tukitegemea watu hawa ndo watakaoikomboa tanzania; tutakuwa watu maskini kupita watu wote".[/QUOTEInatakiwa ujiulize Why? Mkurugenzi wa Mwanza tu na si wakurugenzi wengine hapo kuna tatizo.
 
Uchochezi huo umeleta maafa gani mpaka sasa?

Mijitu kama hili kURUgenZI inastahili litafutwe likajieleze ICC ....

Aibu Iwe juu yenu cCm na vibaraka vyenu vyote.

Swali la maana sana hili.
Sio vibaya kukumbushana yaliyosemwa kitambo kuwa "Endapo CCM itaangukia kwenye orodha ya vyama vya upinzani, Tanzania itashudia upinzani mbaya zaidi kutokea katika historia ya Tanzania", mie naongezea kuwa "CCM itakuwa ni mpinzani mbaya sana kutokea katika historia ya Dunia". CCM inavyokumbatia ujinga wa baadhi ya viongozi wake ni kuthibitisha kuwa Ufisadi ni agenda ya CCM. Hii ni hatari kwa kila kiumbe hai kilichopo Tanzania, maana hata ule ukoma unaokimbilia Ikulu alioutabiri Mwl Nyerere umetapakaa kwenye kila kiungo cha CCM kuanzia shinani, tawini, jimboni, wilayani, mkoani hadi taifa. Nguvu ya umma ndio jibu la ujinga huu wa reja reja wa CCM yenye ukoma maungoni
 
Jamani napingana sana na watu wanaoingia humu ndani yaani THE HOME OF GREAT THINKERS wakati hawana hata hiyo chembe, kama issue nzima huijui naomba usichangie, mambo ya mkurugenzi wa mwanza waulize wa mwanza kama hufaham ni bora ukakaa kimya tu, hakuna mahala utapita mwanza ukakutawanamsifia kote lawama, mara fisadi, kazulumu watu viwanja, mbabe nk. na tena anafanya yote hayo kwa jeuri mno anajua rafiki yake mkubwa na jk na pinda, uliza uwanja aliojenga hotel luchelele kama hajadhurumu, uliza wanamwanza wakuambie mapato ya soko la mwaloni.
 
mimi si mtetei huyu bwana hata kidogo.ninachosema ni kwamba kama chadema au mtu yeyote anaona jamaa hayuko sahihi basi amshughulikia kwa kufuata taratibu za kitaalam.sio kila mtu akiona mwenzake anamkera anapanda jukwaani anawachochea watu wakamvamie! hivi ni akili ya kutetea hiyo?
Mkuu, umekuwa mgeni kwenye siasa za hii nchi? Unataka CDM wawaige waliotangulia ili wajizike? Unataka wafuate wanayotaka CCM yafanywe na vyama vya upinzani nchini? Jibu ni kuwa politics za karne hii are very dynamics. They are like biological evolution of living organisms which change according to situations annually or periodically. Kwa hiyo chunguza kwa makini kwa kuangalia references tofauti tofauti. Vinginevyo nitakuweka tu nawewe kwenye hiyo game of politics.
 
Jamani napingana sana na watu wanaoingia humu ndani yaani THE HOME OF GREAT THINKERS wakati hawana hata hiyo chembe, kama issue nzima huijui naomba usichangie, mambo ya mkurugenzi wa mwanza waulize wa mwanza kama hufaham ni bora ukakaa kimya tu, hakuna mahala utapita mwanza ukakutawanamsifia kote lawama, mara fisadi, kazulumu watu viwanja, mbabe nk. na tena anafanya yote hayo kwa jeuri mno anajua rafiki yake mkubwa na jk na pinda, uliza uwanja aliojenga hotel luchelele kama hajadhurumu, uliza wanamwanza wakuambie mapato ya soko la mwaloni.
Hakikisheni wananchi munamwondoa hamuwezi kukaa na mwizi aliyewekwa kwa manufaa ya wakubwa serikalini unaambiwa Mbeya alijipa viwanja mtaa mmoja kule SAI sasa huyo ni kijogoo cha ufisadi pulizeni filimbi wananchi wamjue huyo
 
Mkuu wa wilaya Konisaga na Mkurugenzi Kabwe hapo Mwanza wanatakiwa kuondolewa mara moja ni mumiani wa haki za wananchi na kisa ni kwa sababu ya wizi na 10% wanazopata kwenye miradi Kabwe amebakizwa hapo kwa ajili ya interest za wakubwa na visiwa anavyotaka kuuza ziwani,
kweli mkuu, ccm ni zaidi ya uijuavyo!
 
Back
Top Bottom