Kamati ya ulinzi na usalama Mwanza yaamuru wabunge wa CHADEMA wakamatwe

dah! Tanzania yetu sasa inakuwa ni mali ya wahuni fulani,inamaana chadema wanadhani sie mabwege?wao wanataka wao wawe dini yetu,wao wawe miungu yetu,walimu wetu wanataka watuendeshe wanavyotaka,waende kilimanjaro wakatawale huko wehu wao.
unakumbuka arusha kipindi kile kwenye viwanja vya nmc,slaa akiwauliza wafuasi wake "nchi itawalike isitawalike!"wananchi nao "isitawalike"mara3, kisha akasema "sasa mimi nasema "nchi hii haitatawalika".
 
CCM inayumba yumba,
CCM inawaya waya,
CCM inaelekea kaburini kwa kasi ya ajabu!!
Nani ataiokoa CCM na maangamizi?
Naam,hata malaika toka mbinguni hawataweza,maana imeoza,inanuka na imeharibika kabisa.
 
MImi ninachowalaumu viongozi wa chadema ni jazba na kutofuata utaratibu?nani kasikia waliyokuwa wanayasema hawa jamaa?Eti wanataka wakamng'oe mkurugenzi kwa maandamano!

This is a craizy decision! Toka lini watumishi wa uma wakuajiriwa wakang'olewa kwa maandamano ya makundi ya kisiasa?JE! tukiruhusu makundi mbalimbali yakiona hayaridhishwi na utendaji wa mtumishi fulani (wa kuajiriwa;si wa kisiasa)

Yawe yanavamia halmashauri na kumuondoa huku ana mikataba nakadhalika unadhani tutakuwa tunafanya mambo ki taalam au kwa emotions! unadhani ni nini matokeo yake?unadhan hali ya usalama wa watumishi wa umma itakuwa je?unadhani ni nini majukumu ya vyombo vya usalama?

Rais mwenyewe anaweza kufika mahali akakuta mtendaji flani hafanyi vizuri;anachofanya si kumuondoa bali kuagiza mamlaka inayohusika imchukulie hatua.

Sasa ninichojiuliza kwamba kama chadema hawana tabia ya kufuata utaratibu na kuheshimu vyombo na mifumo vilivyopo(Institutional and structural framework) pamoja na mgawanyo wa majukumu na madaraka, wakiwa nje ya serikali; sijui wakiwa wao ndo viongozi wa serikali itakuwaje?

......

Umma unaweza kuondoa.
 
hata ccm huko karatu, hai na kwingineko ambako ni chama cha upinzani kinapinga kila kitu wanachofanya chama tawala cdm. Wewe mshabik wa ccm ukiuluzwa jk ameshinda kwa kura ngapi 2010 hujui, hata hiyo tume ya uchafuzi nayo haijui, sasa ulitaka wamchekee tu?
Mabadiko ya katiba ambayo hayakuwapo kwenye ilani ya ari zaidi nguvu zaidi na kasi zaidi ni matokeo ya nguvu ya chadema.
Mliahidiwa mahakama ya kadhi kwenye ilani ya ari mpya mliipata?
Dk slaa alihojiwa bbc hadi watangazaji walikuwa wanamcheka hiyo labda ilikuwa bbc ya zanzibar au bbc ya chalinze.

........

hakushinda kikwete.alishinda silaa.kuhusu idadi ya kura hakuna anayezijua zaidi yako wewe na viongozi wa chadema kwa sababu wao peke yao ndo wenye akili nawaliosoma.

Wengine wote wakiwemo walioendesha zoezi la uchaguzi hawajui kitu.
 
MImi ninachowalaumu viongozi wa chadema ni jazba na kutofuata utaratibu?nani kasikia waliyokuwa wanayasema hawa jamaa?Eti wanataka wakamng'oe mkurugenzi kwa maandamano! This is a craizy decision! Toka lini watumishi wa uma wakuajiriwa wakang'olewa kwa maandamano ya makundi ya kisiasa?JE! tukiruhusu makundi mbalimbali yakiona hayaridhishwi na utendaji wa mtumishi fulani (wa kuajiriwa;si wa kisiasa) yawe yanavamia halmashauri na kumuondoa huku ana mikataba nakadhalika unadhani tutakuwa tunafanya mambo ki taalam au kwa emotions! unadhani ni nini matokeo yake?unadhan hali ya usalama wa watumishi wa umma itakuwa je?unadhani ni nini majukumu ya vyombo vya usalama?Rais mwenyewe anaweza kufika mahali akakuta mtendaji flani hafanyi vizuri;anachofanya si kumuondoa bali kuagiza mamlaka inayohusika imchukulie hatua.Sasa ninichojiuliza kwamba kama chadema hawana tabia ya kufuata utaratibu na kuheshimu vyombo na mifumo vilivyopo(Institutional and structural framework) pamoja na mgawanyo wa majukumu na madaraka, wakiwa nje ya serikali; sijui wakiwa wao ndo viongozi wa serikali itakuwaje?

sisiem wamekuwa wakifanya mambo mengi kwa mgongo wa serikali na ndio maana chadema wanapinga mfumo kama huo, mfano Arusha chatanda ni ktb wa sisiem mkoa wa Ar lakini bado ni mbunge wa kuteuliwa Tanga hapohapo wanamleta kwa nguvu kuingia kwenye wajumbe waliokuwa wapige kura ya kumpata meya wa jiji la Ar je hauoni kwamba sisiem wameshindwa kuvumilia mabadiliko ya kiutawala kidemokrasia? Leo ni umea tu wanachafua hali ya hewa je urais itakuwaje? Na ndio maana watz wengi waliotoa maoni ya katiba mpya pamoja na wanaoendelea kutoa nchini kote! Kuwa hatuwahitaji wakuu wa mikoa wala wakuu wa wilaya! Hawa ni makupekupe ya sisiem! Wako kwa maslai ya chama na si kwa maslai ya watu.
Twiga waliochukuliwa loliondo mkuu wa wilaya alitakiwa awajibishwe kama kweli yuko kwa utendaji waserikali!
Huo ni mfano mmoja kati ya mingi watz walioshuhudia ndani ya nchi hii ,kiama cha sisiem kimefika!
 
MImi ninachowalaumu viongozi wa chadema ni jazba na kutofuata utaratibu?nani kasikia waliyokuwa wanayasema hawa jamaa?Eti wanataka wakamng'oe mkurugenzi kwa maandamano! This is a craizy decision! Toka lini watumishi wa uma wakuajiriwa wakang'olewa kwa maandamano ya makundi ya kisiasa?JE! tukiruhusu makundi mbalimbali yakiona hayaridhishwi na utendaji wa mtumishi fulani (wa kuajiriwa;si wa kisiasa) yawe yanavamia halmashauri na kumuondoa huku ana mikataba nakadhalika unadhani tutakuwa tunafanya mambo ki taalam au kwa emotions! unadhani ni nini matokeo yake?unadhan hali ya usalama wa watumishi wa umma itakuwa je?unadhani ni nini majukumu ya vyombo vya usalama?Rais mwenyewe anaweza kufika mahali akakuta mtendaji flani hafanyi vizuri;anachofanya si kumuondoa bali kuagiza mamlaka inayohusika imchukulie hatua.Sasa ninichojiuliza kwamba kama chadema hawana tabia ya kufuata utaratibu na kuheshimu vyombo na mifumo vilivyopo(Institutional and structural framework) pamoja na mgawanyo wa majukumu na madaraka, wakiwa nje ya serikali; sijui wakiwa wao ndo viongozi wa serikali itakuwaje?

Mkuu inasikitisha sana kwa mtu kama wewe ambae unaonekana umeenda shule, kutetea kinachofanywa na magamba kupitia wakurugenzi haswa huyu wa Mwanza ndugu Kabwe. Mtu ambaye amelifanya jiji hili kama myumba yake, anaamua kufanya chochote atakacho bila kujali kitaleta madhara gani kwa jamii na hachukuliwi hatua zozote kisa kawekwa na ccm,Mkurugenzi huyo huyo alisimamia kutaka kuchakachuliwa matokeo ya ubunge 2010, kama siyo nguvu ya uma kwenda nyumbani kwake kutaka kuhatarisha maisha ya familia yake, leo hii Mbunge wetu Wenje asingekuwa mbunge. I don't think you should involve yourself in favoring this guy because he is iritating all change lovers of this City.
 
MImi ninachowalaumu viongozi wa chadema ni jazba na kutofuata utaratibu?nani kasikia waliyokuwa wanayasema hawa jamaa?Eti wanataka wakamng'oe mkurugenzi kwa maandamano! This is a craizy decision! Toka lini watumishi wa uma wakuajiriwa wakang'olewa kwa maandamano ya makundi ya kisiasa?.

Rais mwenyewe anaweza kufika mahali akakuta mtendaji flani hafanyi vizuri;anachofanya si kumuondoa bali kuagiza mamlaka inayohusika imchukulie hatua.

Inatakiwa uwe na upeo wa uelewa hata kidogo ndio ukurupuke kuchangia.

1. Wanaoenda kumngoa mkurugenzi ni watu gani?. Ni wananchi wa mwanza. Huyu mkurugenzi unayemwita wa kuajiriwa na umma, Umma ni nani.

2. Ujuavyo ww mwajiriwa yeyote yule wa umma hawezi kuondolewa kwa shinikizo la wananchi kwa vile ni mwajiriwa wa serikali. Serikali ni nani.

3.Rais anayo haki ya kukuondoa/ kukuachisha kazi pasipo kufuata izo sheria zako unazozijua iwapo atagundulika na makosa inayoathiri wananchi.

Usikurupuke tu.
 
sisiemniosis virus
 
Tunazidi kuwaombea mliogizani kama nyie mpate kufunguliwa, maana inasikitisha sana kusoma michango kama hii ya waaisraeli ambao bado tuko Misri. Inaelekea mnaendelea kufurahia masufuria ya nyama anayowapa farao mnasahau kuwa mnapaswa kuondoka Misri kuelekea Caananlad. May God deliver you soon!
 
kwani uongo??c wameonekana live itv etc wanachochea wananchi kufanya vurugu ...Na PIA juzi tumemsiki nyerere mUsoma anawachochea wananchi kuvamia ofisi ya dc.... Inavyoenekana cdm siasa zinawashinda au walichokitaka wanachokitaka kinashindwa kufanikiwa sa wanatumia njia za vurugu

Mtahangaika sana... CDM wanawabana mbavu tu hamna pa kutokea! Mkilala mnaweweseka cdm, mnaiota cdm... Ni mwendo wa mchaka mchaka mnaokimbizwa! Mmeona nguvu ya chama mlichokiita cha msimu? Mbona sasa mnachezeshwa ngoma yake mchana na usiku? Mlizoea vya kunyonga, vya kuchinja wala hamuwezi!
 
MImi ninachowalaumu viongozi wa chadema ni jazba na kutofuata utaratibu?nani kasikia waliyokuwa wanayasema hawa jamaa?Eti wanataka wakamng'oe mkurugenzi kwa maandamano! This is a craizy decision! Toka lini watumishi wa uma wakuajiriwa wakang'olewa kwa maandamano ya makundi ya kisiasa?.

Rais mwenyewe anaweza kufika mahali akakuta mtendaji flani hafanyi vizuri;anachofanya si kumuondoa bali kuagiza mamlaka inayohusika imchukulie hatua.

Inatakiwa uwe na upeo wa uelewa hata kidogo ndio ukurupuke kuchangia.

1. Wanaoenda kumngoa mkurugenzi ni watu gani?. Ni wananchi wa mwanza. Huyu mkurugenzi unayemwita wa kuajiriwa na umma, Umma ni nani.

2. Ujuavyo ww mwajiriwa yeyote yule wa umma hawezi kuondolewa kwa shinikizo la wananchi kwa vile ni mwajiriwa wa serikali. Serikali ni nani.

3.Rais anayo haki ya kukuondoa/ kukuachisha kazi pasipo kufuata izo sheria zako unazozijua iwapo atagundulika na makosa inayoathiri wananchi.

Usikurupuke tu.
UNAPOSEMA UMMA UNAKUSUDIA NI chadema?kumbuka wanaoenda kumuondoa ni wafuasi wa chadema tena baada ya kuchochewa na kushawishiwa na wenje na kiwia! ndo maana nasema chadema wanataka watuaminishe kwamba "wao ni katika yote,ndani ya yote na juu ya yote'.Nje ya chadema hakuna chochote.Chadema wanaposikia au kulizungumzia neno "umma" au "wananchi" wanaelewa ni wao tu ndio wananchi.Hizi ni fikra za kitoto,kivivu,kibinafsi na kizandiki zinazolenga kuwajengea dhana potofu watu wasio jua mambo sawa sawa.
 
Mtahangaika sana... CDM wanawabana mbavu tu hamna pa kutokea! Mkilala mnaweweseka cdm, mnaiota cdm... Ni mwendo wa mchaka mchaka mnaokimbizwa! Mmeona nguvu ya chama mlichokiita cha msimu? Mbona sasa mnachezeshwa ngoma yake mchana na usiku? Mlizoea vya kunyonga, vya kuchinja wala hamuwezi!
Na ndio lengo la chadema kuhakikisha wanaandikwa na kujadiliwa kila siku hata kama ni kwa kufanya uzandiki.kujadiliwa au kuwapasua viongozi kichwa sio sifa kwa sababu hata majambazi wa kutumia silaha wanaipasua kichwa serikali siku zote.
 
Mkuu inasikitisha sana kwa mtu kama wewe ambae unaonekana umeenda shule, kutetea kinachofanywa na magamba kupitia wakurugenzi haswa huyu wa Mwanza ndugu Kabwe. Mtu ambaye amelifanya jiji hili kama myumba yake, anaamua kufanya chochote atakacho bila kujali kitaleta madhara gani kwa jamii na hachukuliwi hatua zozote kisa kawekwa na ccm,Mkurugenzi huyo huyo alisimamia kutaka kuchakachuliwa matokeo ya ubunge 2010, kama siyo nguvu ya uma kwenda nyumbani kwake kutaka kuhatarisha maisha ya familia yake, leo hii Mbunge wetu Wenje asingekuwa mbunge. I don't think you should involve yourself in favoring this guy because he is iritating all change lovers of this City.
mimi si mtetei huyu bwana hata kidogo.ninachosema ni kwamba kama chadema au mtu yeyote anaona jamaa hayuko sahihi basi amshughulikia kwa kufuata taratibu za kitaalam.sio kila mtu akiona mwenzake anamkera anapanda jukwaani anawachochea watu wakamvamie! hivi ni akili ya kutetea hiyo?
 
hivi mbunge anaruhusiwa kuvunja sheria mpaka spika atakapo sema akamatwe?mbunge akiwa nje ya bunge akivunja sheria anashughulikiwa kama kazi ndo maana hata chenge alivyogonga mtu na gari alikamatwa.

Ya Adam Malima na SMG morogoro yaalishia wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom