Kamati ya Sitta kuiundia zengwe UKAWA

Kamati ya Sitta kuiundia zengwe UKAWA

Ccm watashitaki kwa nan?
Hatuyataki huju mitaani,tukiona matishet tenu hadi kichefuchefu kutokana na madhulumu yenu.
Ccm ilaaniwe kuanzia mwenyekit wa taifa hadi mwenyekit wa tawi
 
Shoga wangu elimu yako ni ya ahelan nini simple sio simpo au ni jina nini.go back to school dude.

Typing error kwanini arudi shule?instruction and teaching specially of adult people unataki kuwana adabu dickhead
 
Sitta hana uwezo wa kufanya lolote lile maana yeye ndio chanzo cha yote toka mwanzo baada ya kuvunja kanuni kwa kumuita Warioba kwanza badala ya Rais,pili kupuuzia kile ambacho kilitakiwa kijadiliwe kulingana na rasimu yeye akawa anaona sawa tu ili mradi matakwa ya waliyopanga yalikuwa yakitekelezwa.Sioni maana ya yeye kuhangaika sasa wakati anajua fika kuwa chanzo cha tatizo ni yeye.
 
Nashauri Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liitishwe ili kubadili sheria ya Bunge Maalum ili kusiwe na ulazima wa akidi ya Theluthi Mbili. Pia nashauri kuwa vifungu juu ya muundo wa muungano vipitishwe kwa mujibu wa maoni ya walio wengi na Bunge Maalum lijikite sana kwenye masuala yanayohusu moja kwa moja maslahi ya wananchi

hushangazi ndio maana hii nchi ina matatizo sehemu nyingi kutokana na mawazo na akili fupi kama zako ... ni mambo gani ya ziada yanayohusu maslahi ya wananchi moja kwa moja yatakayojadiliwa?... kuondoa uwajibikaji, misingi ya utawala bora kwenye katiba ndio mnataka kutuletea .... GROW UP!!!

badala ya kujadiliana kwa hoja unaleta mambo ya wingi wa kura ... katiba ni maridhiano

kama katiba ni mashindano kila upande uandae katiba yake kisha wazipeleke kwa wananchi wachague
 
Sitta hana uwezo wa kufanya lolote lile maana yeye ndio chanzo cha yote toka mwanzo baada ya kuvunja kanuni kwa kumuita Warioba kwanza badala ya Rais,pili kupuuzia kile ambacho kilitakiwa kijadiliwe kulingana na rasimu yeye akawa anaona sawa tu ili mradi matakwa ya waliyopanga yalikuwa yakitekelezwa.Sioni maana ya yeye kuhangaika sasa wakati anajua fika kuwa chanzo cha tatizo ni yeye.
Akili zako huwezi kutanua kidogo!
 
Hili la kushtaki UKAWA kwa wananchi kichekesho kweli. Naona Sita amegeuka full time comedian.
 
i

Jamani nisaidieni kuelewa,najua swala hili lina pande mbili.Mbona tunambiwa ya UKAWA tuu,kususia vikao na ushawishi unao fanywa ili warejee ukumbini? Ajabu hatuelezwi juhudi za kushawishi upande wa pili kukubali kujadili Rasimu ya tume ya katiba na si vinginevyo! Kuna nini hapo?
Mkuu, TEC, CCT na wote wenye mapenzi mema wamesema BMK lijikite kwenye rasimu ya tume na si vinginevo. Cha ajabu 'media' zetu sijui zina nini kwa kutolipa kipaumbele hili na wanabaki wakiburuzwa na miito ya CCM ya kuwataka tu UKAWA warejee bungeni bila kuwahoji hao CCM kujadiri rasimu ya tume.
 
Nashauri Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liitishwe ili kubadili sheria ya Bunge Maalum ili kusiwe na ulazima wa akidi ya Theluthi Mbili. Pia nashauri kuwa vifungu juu ya muundo wa muungano vipitishwe kwa mujibu wa maoni ya walio wengi na Bunge Maalum lijikite sana kwenye masuala yanayohusu moja kwa moja maslahi ya wananchi

Hao wanaokulipa b7 kwakweli waangalie na comments munazotoa, kama ushauri wenyewe ndo huu alafu wanakulipa b7 ni bora sasa waanze kuwalipa kwa kigezo chakuangalia uwezo wa mtu otherwise kwa comments hizi zako kukulipa b7 nimatumizi mabaya ya ccm.
 
ONYO na TAHADHARI: UKAWA, ole wao! Kurudi kwao Bungeni iwe TU kwa kujadili RASIMU YA 2 ya Katiba aliyowasilisha Mh Jaji Warioba - YA MAONI YA UMMA. Wakilogwa na kupuuzia kwa kudanganywa na porojo na manyang'u-nyang'u ya Watawala hawa walaghai (CCM) wanaohaha kujilinda madarakani miaka mingine mi-5, BILA HURUMA ya kuilinda nchi na utaifa wake kwa miaka 100+ ijayo!! ...kwa kosa hilo la karne, UKAWA watakuwa wameingizwa choo cha kike...ndio mwisho wao na watakuwa wamehalalisha hila za CCM, na watakuwa wamesaidia kupatikana Katiba ya CCM!.....kwa kosa lao ndio uzalendo utatoweka, itakuwa 'kilio na kusaga meno' kwa kizazi chote!
 
Nashauri Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liitishwe ili kubadili sheria ya Bunge Maalum ili kusiwe na ulazima wa akidi ya Theluthi Mbili. Pia nashauri kuwa vifungu juu ya muundo wa muungano vipitishwe kwa mujibu wa maoni ya walio wengi na Bunge Maalum lijikite sana kwenye masuala yanayohusu moja kwa moja maslahi ya wananchi
mnafiki mkubwa wewe kumbe unatambua hilo kwa nini nyie ccm wahuni hamutaki kuheshimu maoni ya wananchi
 
Back
Top Bottom