Hapo kwenye red, huo ndio utumbo wa mnyama gani? Ulitaka kusema "simple" au hayo ndiyo matokeo ya shule za kata ambapo kiingereza chako kimekomea hapo?Wasioingia bungeni wapigwe chini tu. Simpo.
Haotoshelezwi nini?Wasioingia bungeni wapigwe chini tu. Simpo.
iNi baada ya kushindwa kufikia muafaka wa maridhiano. Kamati imeamua kuendelea na bunge la katiba endapo UKAWA hawatarudi bungeni agosti 5. Pia wamedai kuwa wataenda kuwashtaki UKAWA kwa wananchi.
Source: Mwananchi.
i
Jamani nisaidieni kuelewa,najua swala hili lina pande mbili.Mbona tunambiwa ya UKAWA tuu,kususia vikao na ushawishi unao fanywa ili warejee ukumbini? Ajabu hatuelezwi juhudi za kushawishi upande wa pili kukubali kujadili Rasimu ya tume ya katiba na si vinginevyo! Kuna nini hapo?
Wasioingia bungeni wapigwe chini tu. Simpo.
i
Jamani nisaidieni kuelewa,najua swala hili lina pande mbili.Mbona tunambiwa ya UKAWA tuu,kususia vikao na ushawishi unao fanywa ili warejee ukumbini? Ajabu hatuelezwi juhudi za kushawishi upande wa pili kukubali kujadili Rasimu ya tume ya katiba na si vinginevyo! Kuna nini hapo?
Acha ukanjanja wewe. Kwani Simple unaitamkaje?Shoga wangu elimu yako ni ya ahelan nini simple sio simpo au ni jina nini.go back to school dude.
UKAWA mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe. wananchi wanawashangaa.