MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,512
wakwanza kupigwa chini na juu ni wewe mwenyewe usiyejitambuaWasioingia bungeni wapigwe chini tu. Simpo.
wakwanza kupigwa chini na juu ni wewe mwenyewe usiyejitambuaWasioingia bungeni wapigwe chini tu. Simpo.
ukawa mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe. Wananchi wanawashangaa.
wasioingia bungeni wapigwe chini tu. Simpo.
Acha ukanjanja wewe. Kwani Simple unaitamkaje?
mlisema ukawa ndio chanzo cha vurugu sasa inakuwaje mlazimishe watu mliodai ndio chanzo cha matatizo warudi? Ukawa tumejiridhisha kuwa nyie ni watetezi wetu hampo hapo kwaajili ya posho.
Kweli wewe Liz tikiti maji, kwani hapo katamka au kaandika?Acha ukanjanja wewe. Kwani Simple unaitamkaje?
Wasioingia bungeni wapigwe chini tu. Simpo.
Hapo kwenye red, huo ndio utumbo wa mnyama gani? Ulitaka kusema "simple" au hayo ndiyo matokeo ya shule za kata ambapo kiingereza chako kimekomea hapo?
Tukumbuke katiba ni ya taifa zima,tumwombe mungu atupe hekima ya kulimaliza hili kwa utashi na uzalendo,mungu ibariki tz
​siku nyingi bibi sijakuona.......swaumu kali naonaWasioingia bungeni wapigwe chini tu. Simpo.
UKAWA mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe. wananchi wanawashangaa.