t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,499
- 15,111
Waseme tu kuna wizi na waishie hapo,Kwa hiyo wasiseme hasara waseme kuna wizi ndio umesababisha hasara...wote magari tunayajua wasitake kutudanganya kitoto bhana..
Waseme tu kuna wizi na waishie hapo,Kwa hiyo wasiseme hasara waseme kuna wizi ndio umesababisha hasara...wote magari tunayajua wasitake kutudanganya kitoto bhana..
Pale gari ni kupakia na kushusha nipeleke Scania 500 napataje hasara wezi hao...Waseme tu kuna wizi na waishie hapo,
Dala dala za kawaida za watu binafsi zinagombania wateja zipate faida. Ila mwendo kasi isiyo na mshindani inapata hasara
Achana na huyo alikuwa anafanya kazi maxmalipo kampuni ya kijinga kabisa!Maxmalipo si ndio hawa wakina Charamila waliopiga bilioni 2 uko Iringa?
na hao maxmalipo ndo walewale tu team moja.
Mfumo ulikuwa mzuri ila kuna watu walitemper na system .Maxmalipo si ndio hawa wakina Charamila waliopiga bilioni 2 uko Iringa?
na hao maxmalipo ndo walewale tu team moja.
Wizi mtupu. Serikali yenyewe ndio huenda kwemye taasisi kuchota mijihela ya kuhonga hasa kipindi cha uchaguzi. Ila huko haziwezi kuonekana kama zilienda kwenye kampeni au uchaguziKauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara
Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara zinatoka wapi?
Mkuu zile basi ni cheap sana ku run, kwanza zina njia yake!! Pili zina wateja wakeZinatumia mafuta kiasi gani na gharama za matengenezo zipoje Mkuu labda iwe gari ya plastic lakini kwa jinsi navyozijua gari mpaka ziharibike kwa kutembea mileage kadhaa na wewe unapata chochote sio kwa hasara hiyo inayotangazwa kila kukicha mimi ntabisha hata kodi sidhani kama wanasumbuliwa kama makampuni binafsi..
Wezi wanatoa taarifa ya uongo ili waendee kuiba kama bus linawashinda wataweza kufanya biashara yenye ushindani mkubwa ya Ndege...Mkuu zile basi ni cheap sana ku run, kwanza zina njia yake!! Pili zina wateja wake
Nilikaa na jamaa aliwahi endesha hizo basi anasema kwa siku lile basi refu hadly linatumia lita 100, revenue yake at peak hours basinlinapakia abiria 200+ , @650, unaongelea karibu 130000 tshs, one way kwa route isiyozidi km 15. Unapataje hasara hapo ? Na basi haina hata konda kusema kwamba atapanga matokeo!
Yes! Wanascan ticket 10, katika kila tiketi 1000, sasa hayo mapato serikali inayaonaje??Wachumia tumbo watakua ni wengi humo
True kama tu daladala zinapata faida sembuse wao wenye KILA kitu kipo yaani njia, abiria,ondolewa kodi.sio kweli, kutakua na ubadhilifu
Kwani inatoa huduma au inafanya biashara. Kazi kubwa ya BRT ni kutoa huduma kwa wananchi wake siyo kufanya biashara.Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara
Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara zinatoka wapi?