Kamati ya Bunge yabaini Mwendokasi wanajiendesha kwa hasara

Pumbavu kweli wewe sasa Magufuli yeye ndio aliiba? Rates za MaxMalipo zilikuwa juu sana kiasi kwamba ilikuwa kama wao ndio wenye mabasi
Kwa hiyo kwa akili yako na Magufuli mkaona bora kuharibu mfumo wa kadi. Unakumbuka mliwapa hiyo kazi TTCL vipi? Magufuli aliharibu hilo shirika.. hakuna ubunifu shirika limejaza wakata tiketi wapo sawa na abiria ujinga mtupu.
 
Mfumo ulikuwa corrupt na ndio asili ya watanzania. Wanapenda mazingira watakayoweza kudokoa hela tu.

Cha kufanya waweke GePG tu kazi iishe watu walipie kwa control number! Hela ziingie direct kwenye mfuko wa shirika pale ticket inapokatwa tu.
 
Mtu anayesema kampuni inajiendesha kwa hasara huwa simuelewi, maana kabla ya kufanya ile shughul hesabu za makadilio zimeshafanyika, kila gar moja lazma lipige root kadhaa ili libalance hesabu,cna zile gari huwa znajaza tofaut na daladala zetu.mf kama mim nina gar ya kinyrez /karkoo ni 7kwa 14 napata mafta ya bos na posho nshatoa mabao. wale wapigaj wengi hasa kwenye tiket mh!haya
 
Mfumo ulikuwa corrupt! Cha kufanya waweke GePG tu kazi iishe watu walipie kwa control number!
Kumbe una akili eeeh. Ndio kilichokuwa kinatakiwa kwanini tiketi wasitoe kama EFD tiketi zinakuwa loaded katika mashine zinatoka tu sasa sikuhizi zikitoka dirishani zinaenda kupigwa sijui kitochi kabla ya kuingia. Wanapoteza mapato kwa matumizi ya kijinga sana.
 
Kulingana na Musiba wakati wa JPM, alisema Kuna wajanja wanauza tiketi zao wanaacha za serikali. Kujiendesha kihasara ni uzembe wa hali ya juu!! Kuwe na uongozi wa kizalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Automation ya Ile system ndo italeta malipo, Yaani kila mtu alipie Kwa Kadi na nauoi iwe deducted automatically according to umbali msafiri anaoenda,
Otherwise ni kuwatajirisha wafanyakazi Tu pale.
 
Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara.

Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara zinatoka wapi?
Lita moja ya dizeli wananunua kwa 15,000
 
Reli ya kati uingiza mapato hadi milioni 20 kwa siku na awapishani Sana na mwendokasi
 
Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara.

Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara zinatoka wapi?
Kamati imekagua mahesabu (mapato na matumizi) na kubaini hasara. Sasa wewe unayepinga, una data zipi?
 
Kumbe una akili eeeh. Ndio kilichokuwa kinatakiwa kwanini tiketi wasitoe kama EFD tiketi zinakuwa loaded katika mashine zinatoka tu sasa sikuhizi zikitoka dirishani zinaenda kupigwa sijui kitochi kabla ya kuingia. Wanapoteza mapato kwa matumizi ya kijinga sana.
Sana yani
 
Hasara ni kwa kutokuwa Wabunifu...

Ongezeni ,Tengeni Ma-bus kadhaa kwa huduma ya VVIP zenye Kadi Maalumu ...Mbezi Kivukoni 3000/=
Ubungo - Posta 2000/=
Level Seat
Tutayaacha Magari Nyumbani
Kwa dar, ni wangapi wenye uwezo huo wa kulipa 3000 ?abiria wengi ni hao choka mbaya!!
 
Watu wanaiba hela hapo hakuna hasara hata iweje...kampuni haina ushindani ni wao tuu wanapataje hasara wakati bus za mikoani na ushindani mkubwa na hasara sio kubwa kama za huko kila kukicha...napinga hakuna hasara ni wizi tuu maana mali ni ya umma hakuna anaejali..

Baada ya kuwatoa maximalipo mambo yalienda hovyo na moja ya vitu magu alibugi ni pamoja na hilo
 
Wakulaumiwa ni Magufuli na roho mbaya yake.. kulikuwa na mfumo mzuri sana wa kulipia kuhusu tiketi yeye na roho korosho yake akawatoa wale Maximalipo na ukawa mwanzo wa wizi wa tiketi. Pesa zinaibwa sana sijui kwanini waliua ule mfumo wa tiketi. Majaliwa kapiga mdomo kawa kimya. Bashungwa ndio mtu wa ajabu sana katembelea pale kakuta changamoto zake akampa muda meneja afanye utaratibu zimalizike. Kuna wizi sana.
pole mkuu kwa kuvurugiwa uwekezaji.
 
Back
Top Bottom