Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM kuketi kikao maalum Jumamosi (20/03/2021). Yatangaza siku 21 za maombolezo

Chanjo wamepewa watu million 17 na walioathirika hawafiki 400!! Below 0.00% kma tu ambavyo hta tukiwapa Insulin watu laki 1 huwezi kosa watu hta buku watakaopata side effects.

Au mwenzetu tuambie ni dawa gani haina side effects kwa walau 1% ya watumiaji wote.
Panadol
amoxylin
fragil
 
Bashiru kuwa VP.
Sahau ..... Kale kautaratibu kao CCM ka mgawanyo wa udini katamuangusha. Ni muda ya kumwekea mwana CCM halisi... Most probably ni Mwenyekiti wa zamani wa vijana, Emanuel Nchimbi, kama vile Kigogo anavyodai.
 
Bashiru haingii tena yeye kabaki na Makamu wa Rais,
Sema Kikao hicho wakaribishwe Wazee wa Chama kama J. Kikwete, A. Kinana, Mzee Yusuf Makamba ndipo jina litatoka zuri kuliko kumkaribisha Bashiru huenda ana majina.
Hata nafasi nyeti afai atatuletea itikadi za jiwe,vipi presida akifarki si tunarudi kulekule tulipotoka.
 
Wanajeshi (JWTZ) Ndio wame sema kuwa Ni siku 14 .hizo 21 Ni za ccm
Kwa hiyo aliagizwa atamke siku saba pungufu kinyume na sheria na jeshi sio? Basi anaendeshwa na ataendelea kuendeshwa akishindwa wanamweka pembeni.

Karma is as equal to throwing a stone in sky and drfits down by gravitational force. Karma is not like smoke rising in sky that does not come down.. Karma is a revolving barrel gun that kills the killer alike without mercy.

Do not forget the Elites and Factionalism Class who decide who is to be who, where, when and for what purpose over s specified period of time.
 
Nashauri Makamu wa Rais awe Mkristo Mkatoliki na Waziri Mkuu awe Mkristo Mprotestanti au Makamu wa Rais awe Mkristo Mprotestanti na Waziri Mkuu awe Mkristo Mkatoliki.

Waziri Mkuu awe Mkenda au Kimei kuendana na kama Makamu wa Rais atakuwa Mprotestanti au Mkatoliki.

Kabudi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu anaweza kuwa Mkenda.

Au Lukuvi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Kimei akawa Waziri Mkuu.

Au combination nyingine nzuri za Makamu wa Rais Mkatoliki na Waziri Mkuu Mprotestanti au Makamu wa Rais Mprotestanti na Waziri Mkuu Mkatoliki.

Bunge ndio liwe uwanja mkuu wa kufanya maamuzi haya, kwasababu uwiano wa kidini ndani ya Kamati Kuu ya CCM, hauendani na hali halisi nchini.

Halafu in the future, baada ya Rais Samia kumaliza vipindi vyake vya uongozi, tujaribu kuwa na Rais Mprotestanti, kwasababu Tanzania haijawahi kuwa na Rais Mprotestanti.

Ushauri huu usipofuatwa hakuna tatizo lolote. Maisha yanaendelea kwa amani na utulivu.
Mawazo ya kidini ondosha huko
 
Chanjo wamepewa watu million 17 na walioathirika hawafiki 400!! Below 0.00% kma tu ambavyo hta tukiwapa Insulin watu laki 1 huwezi kosa watu hta buku watakaopata side effects.

Au mwenzetu tuambie ni dawa gani haina side effects kwa walau 1% ya watumiaji wote.
Wazungu wenyewe wameamua kusitisha pamoja na WHO kuioigia debe!!
 
Kwendeni zenu! Bado tupo kwenye maombolezo msianze ulafi wa kutafutiana vyeo!!
Nchi haiwezi kusimama, lazma maisha yaendelee tu dogo ijapo tunaomboleza, lazma tujue tunaendaje mbele..

Mahiga alipofariki, alikuwa ameshachaguliwa waziri wa kumrithi hata kabla hajazikwa. Hii ni kukuonyesha kuwa, pamoja ya kuwa ni kweli tunaomboleza, lakn ni lazma taifa lisonge
 
Kwa hiyo aliagizwa atamke siku saba pungufu kinyume na sheria na jeshi sio? Basi anaendeshwa na ataendelea kuendeshwa akishindwa wanamweka pembeni.

Karma is as equal to throwing a stone in sky and drfits down by gravitational force. Karma is not like smoke rising in sky that does not come down.. Karma is a revolving barrel gun that kills the killer alike without mercy.

Do not forget the Elites and Factionalism Class who decide who is to be who, where, when and for what purpose over s specified period of time.
14days
 
Back
Top Bottom