Haina mvuto kabisaaaaaa. Tazama no confident at all.
Usikariri Mkuu watu wanabadilika, Ni mesema tu lakiniNimemuona classmate wangu Nzemo kwenye CC. Mtu mbinafsi, bahili na mwenye roho mbaya kupindukia! Hongereni lakini!
Ni wapenziKwanini halima mdee amekaa na ester bulaya?
Etî haka ndio kachama kuna watu wanaamimi kanaweza ongoza nchi...wasahau.View attachment 1284611View attachment 1284612View attachment 1284613View attachment 1284614View attachment 1284615
Ni katika Maandalizi ya Uchaguzi wa kitaifa
Mungu ibariki Chadema
Mbona umeandika kinyonge sana nini kimekusibu?Haina mvuto kabisaaaaaa. Tazama no confident at all.
Lile genge lenu la majambaka ndio mko makini sana kuongoza nchi... miaka takriban sitini "angali hata kaboka" tunaagiza kutoka nje..Etî haka ndio kachama kuna watu wanaamimi kanaweza ongoza nchi...wasahau.
Hongereni sana. Dhuu huyo alevaa hiyo baret hapo inaweza leta gumzo kama lile la Uganda. Hebu tusibirie tutawasikia tuu
unaumia ?Kamati kuu hawafiki hata 20?
Erythrocyte, Agenda ya kikao?
Mbona unamambo ya kisichana wajumbe wamekaa ati unahoji kwa nini.Nifanyie mpango
Kwa kuwa wewe hujahudhuria, siti uliyotakiwa ukalie ndio kakalia EsterKwanini halima mdee amekaa na ester bulaya?
Kwa kuwa wewe hujahudhuria, siti uliyotakiwa ukalie ndio kakalia Ester
Sina la kupoteza kwa maamuzi yako hayoWewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Mbona unamambo ya kisichana wajumbe wamekaa ati unahoji kwa nini.
Kamuhoji mwenyekiti wako ile 2.5 trillion halafu tuje tukuopoe mto ruvu kwenye kiroba.Hamtaki tuhoji? Huo ni udkteta