Hamtaki tuhoji? Huo ni udkteta
Unahoji ujinga.....
Weka swali la maana sio kwa nini kakaa na flani ujinga hatuvumilii
Hamtaki tuhoji? Huo ni udkteta
Rafiki huna misingi ya demokrasia toka moyoni,ni hasara kwa taifa ,so nani anaamua huu ni ujinga au point ,wewe ? rais? ccm ? poor youUnahoji ujinga.....
Weka swali la maana sio kwa nini kakaa na flani ujinga hatuvumilii
Rafiki huna misingi ya demokrasia toka moyoni,ni hasara kwa taifa ,so nani anaamua huu ni ujinga au point ,wewe ? rais? ccm ? poor you
Jiwe la Msingi la nini MkuuHuu uzi kikao kamati kuu CDM utachangiwa na wadau wengi muda mfupi kushinda habari kuu ya leo Rais kuweka jiwe la msingi daraja 699.2 B Mwanza pamoja na kuwa live TV kadhaa. Sijui Watanzania wamechoka nini?
hakuna anaeamua nje ya misingi ya kidemokrasia inayotaka mimi niheshimu maoni yako nisiyaite ya kijinga (kama ulivyofanya wewe) maana kwenye katiba tuko sawa .Na anaye amua hiyo ni point ni wewe?
Jibu huo ujinga hatupo kuulizwa upuuzi
hakuna anaeamua nje ya misingi ya kidemokrasia inayotaka mimi niheshimu maoni yako nisiyaite ya kijinga (kama ulivyofanya wewe) maana kwenye katiba tuko sawa .
Hii ndio ajenda ?Dah wamebaki ukiwa tu
sipati picha angekuwepo bado yupo Dr. Slaa, Zito, Kitila, Mwigamba, Baregu, Safari
So sad chama kikuu cha Upinzani kinamekosa agenda kwa tamaa za kikundi cha mtu mmoja
Acha shobo na waume wa watu.Haina mvuto kabisaaaaaa. Tazama no confident at all.
mkuu unaonaje tuondoe kikomo cha kugombea urais wa nchi kama katiba ya Chadema?Hii ndio ajenda ?View attachment 1284843
Bado unaulizaga tu kuhusu hao hujui ni bibi na bibiKwanini halima mdee amekaa na ester bulaya?
Wawe na mvuto ili iweje? Hawako kwa ajili ya cheap popularity
siyo mjumbe wa Kamati kuuMwambe yuko wapi,
Mimi naamini hii inawezekana sana CHADEMA wakiongeza juhudi kidogo, hasa katika maarifa ya kuwafikia wananchi na kuwapa elimu ya kutosha.Uchaguzi ujao ccm watashangaa wasije wakapanik na kuingiza vifaru mtaani.
Ukiwauliza wananchi kumi nane wanakwambia wataipigia Chadema na kwamba hawawezi kula ndege wala sgr na pia hawawezi kunywa stiglasMimi naamini hii inawezekana sana CHADEMA wakiongeza juhudi kidogo, hasa katika maarifa ya kuwafikia wananchi na kuwapa elimu ya kutosha.
Hii miezi iliyobaki inatosha sana.
Wewe utakua maskini sanaNimemuona classmate wangu Nzemo kwenye CC. Mtu mbinafsi, bahili na mwenye roho mbaya kupindukia! Hongereni lakini!
Wewe umezidisha mapambio kungali giza. Vuta subira, usiku bado mbichi sana, na hasa ukitzingatia ukorofi walionao CCM.Ukiwauliza wananchi kumi nane wanakwambia wataipigia Chadema na kwamba hawawezi kula ndege wala sgr na pia hawawezi kunywa stiglas
Na kwasababu viongozi wa Chadema wanafuatiliwa kila step wanapiga mbinu za chini kwa chini za sera mbadala zinaitikiwa.
Maisha magumu ndio mtaji kwa sasa.