Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,844
- 40,481
Siku nyingine andika kwa lugha unayoimudu.Haina mvuto kabisaaaaaa. Tazama no confident at all.
Siku nyingine andika kwa lugha unayoimudu.Haina mvuto kabisaaaaaa. Tazama no confident at all.
Nami nasubiri tamko rasmi la katibu mwenezi wangu polepole kuhusu hili,kwanza kwanini polisi wameruhusu huu mkusanyiko?Nimeandika na kufuta..ngoja nisubiri tamko la chama cha kina pole pole
Kwanini halima mdee amekaa na ester bulaya?
CCM vyao wanafanyia Ikulujambo jema ila ifike wakati CHADEMA wawe na ofisi yenye ukumbi wa kufanyiwa vikao vikubwa vya chama kama hizi ili waepuke mambo mengi ikiwemo kudukuliwa
Duuh ...nyie jamaaa kweli mu wataalamu wa kujitoa ufahamu na mmedanganya mpaka sasa mmeanza uamini uongo went wenyeweMkuu elewa wachangiaji wengi wa humu wapo nje ya Tanzania vie vile baada ya hiki ijiwe kununuliwa rasmi na Chadema wengi hawako interested na Mbowe na genge lake la wahuni.
Mkuu ifike wakati usijibu kama wale jamaa wa buku 7 ...pamoja na kufanyika Ikulu ila kuna Lumumba na ChamwinoCCM vyao wanafanyia Ikulu
Kwani huwaonagi hata mahakamani? Chadema walishahalalisha ndoa hiyo. Na siku ukitaka halima aondoke chadema ni pale mbowe atakapotaka kumtweza esther bulaya. Na ndio maana pamoja na uzuri wote wa esther, mbowe hata siku moja haingizi vocal hapo kuogopa mgongano wa kimaslahi na halima. Sababu wanaheshimiana sana na halima.Kwanini halima mdee amekaa na ester bulaya?
Yale yote ni majengo ya umma , ni kama walivyoteka viwanja vya soka tuMkuu ifike wakati usijibu kama wale jamaa wa buku 7 ...pamoja na kufanyika Ikulu ila kuna Lumumba na Chamwino
Kwani huwaonagi hata mahakamani? Chadema walishahalalisha ndoa hiyo. Na siku ukitaka halima aondoke chadema ni pale mbowe atakapotaka kumtweza esther bulaya. Na ndio maana pamoja na uzuri wote wa esther, mbowe hata siku moja haingizi vocal hapo kuogopa mgongano wa kimaslahi na halima. Sababu wanaheshimiana sana na halima.
Kakae Naye wewe
Usichojua hapa JF Kuna baadhi Wana account zaidi ya 10 na wanalipwa na CHADEMA hivyo katika uhalisia wakichangia watu 100 hao ni watu 10 tuHuu uzi kikao kamati kuu CDM utachangiwa na wadau wengi muda mfupi kushinda habari kuu ya leo Rais kuweka jiwe la msingi daraja 699.2 B Mwanza pamoja na kuwa live TV kadhaa. Sijui Watanzania wamechoka nini?
Kakae Naye wewe
View attachment 1284611View attachment 1284612View attachment 1284613View attachment 1284614View attachment 1284615
Ni katika Maandalizi ya Uchaguzi wa kitaifa
Mungu ibariki Chadema
Ni aibu sana kwa jitu zima tena janaume lenye mitoto mikubwa kabisa kuishi kwa kutegemea uongoUsichojua hapa JF Kuna baadhi Wana account zaidi ya 10 na wanalipwa na CHADEMA hivyo katika uhalisia wakichangia watu 100 hao ni watu 10 tu
Mhe.Rais anachofanya hakichangiwi na watu vivuli ila watu wa kweli kupitia mikusanyiko mbalimbali
Ila buku 7 ya Lumumba ni kweli au ni mihemko tu na ujinga wa ki pungu1?Ni aibu sana kwa jitu zima tena janaume lenye mitoto mikubwa kabisa kuishi kwa kutegemea uongo
Nifanyie mpango