Kamati Kuu ya Chadema yakutana Mlimani City

Kamati Kuu ya Chadema yakutana Mlimani City

Pia kumbuka kuna member wengine wana ID zaidi ya moja hapa JF mfano MKWEPA KODI na jumla ya member ni laki 4. Pia kumbuka baada ya JF kuvamiwa na kundi la watoto wa chuo na wabeba mabox huko Ulaya member wengi ambao walikuwa think tankers wa JF wakaamua kukaa kimyaa!!
Mdomo wako uwe unapiga mswaki
 
jambo jema ila ifike wakati CHADEMA wawe na ofisi yenye ukumbi wa kufanyiwa vikao vikubwa vya chama kama hizi ili waepuke mambo mengi ikiwemo kudukuliwa
Unafikiri Tanu wakati wanapigania Uhuru walikuwa na ofisi zao kama sio kukutana kwenye nyumba za watu tu
 
jambo jema ila ifike wakati CHADEMA wawe na ofisi yenye ukumbi wa kufanyiwa vikao vikubwa vya chama kama hizi ili waepuke mambo mengi ikiwemo kudukuliwa
Kudukuliwa hata wafanyie wapi watadukuliwa tu maana naamini hata kwenye kamati kuu kuna mamluki sio wote ni loyal kwa CDM
 
Kwani huwaonagi hata mahakamani? Chadema walishahalalisha ndoa hiyo. Na siku ukitaka halima aondoke chadema ni pale mbowe atakapotaka kumtweza esther bulaya. Na ndio maana pamoja na uzuri wote wa esther, mbowe hata siku moja haingizi vocal hapo kuogopa mgongano wa kimaslahi na halima. Sababu wanaheshimiana sana na halima.
Comments nyingine bwana,ukisoma tu unajua imeandikwa na mtoto haramu
 
Back
Top Bottom