Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 992
sio tu wakose uwaziri ila nadhani wote wenye tuhuma za moja kwa moja wapelekwe mahakamani
Waliokuwa bench wanapiga jaramba na mataulo; tusubiri tick ack zao pamoja na kross !asante kwa taarifa mkuu. Nakuheshimu sana.
CCM CCM CCM CCM CCM hayo ndio maneno,
JK ni msikivu siku zote
2. Kamati Kuu imeridhika na imebariki uamuzi wa Rais KULISUKA UPYA BARAZA LA MAWAZIRI na taasisi zingine zilizoanishwa katika ripoti hizo. Imesisitiza utekelezaji wa uamuzi huo ufanywe mapema iwezekanavyo.
wakuu katiba inasemaje kuhusu waziri mkuu je baraza likivunjwa naye pia anakaa pembeni au inakuwaje hapo