Wadau Kikao kimecotton fire Chenge amemuingiza mjini Mwenyekiti kumbe ilitakiwa kabla hatujaanza kikao hiki ilitakiwa awe amejiuzulu na alikubali hivyo mbele ya Kikao cha maadili Lowassa ndo alikacha kabisa,Mwenyekiti kaumbuka ndani ya Kikao Wajumbe wamechachamaa Mkama toka alipoenda uani saa mbili hajarudi tena sijui leo kutakuchaje wanajf tusubiri tutaendelea kujuzana.
- According to the dataz, Chenge amejivua gamba leo rasmi huko CC, kikao kinaendelea mpaka sasa!
Willie @ NYC, USA.
wengi tuko mbali, tunaomba taarifa nini kimejiri ktk kikao cha kamati kuu (cc) ya ccm, miongoni mwa hadidu rejea:
1. Jairo
2. Kujiuzulu kwa rostam
3. Umeme
4. Sitta na wenzie kujiunga na ccj