Mkuu MS alibadili akaanza kujiita Mhadhili akapigwa ban kala kona sasahivi anajiandaa kuja na nembo mpya. Humu ndani ya JF amebakia Faizafox.MALARIA SUGU amepigwa ban sasa nani mwingine atakayetupa taarifa? Faizafox, Omr, Kishongo ataabu tupu.

yote haya wadau mna guess tu. Habari za uhakika kuna mkorogano mkubwa sana kwa E. L jana kakacha kikao cha kamati ya maadili. watu wanapasuana humo ndani mbaya kabisa
unaweza kun'goa nguzo ya nyumba yako?Gamba moja limejingo'a yaliyobaki yang'olewe kwa nguvu
hawana jipya wanapoteza muda na kujiandaa kuwa chama cha upinzani maana kila kona wamekabwa koo.
Wafugaji wa kukodishwa akina bora mimi, ingawa fani yao hasa ni wachinja kuku.Mkuu ndo kwanza hatujaanza hata agenda moja,wajumbe wote hatujui agenda ni zipi wanaojua ni mwenyekiti na katibu pekee lakini kikubwa wajumbe wote tunataka kufahamu sababu inayofanya Sungura wetu asikue kwa miaka 50 sasa,chanzo nini
(1)Asili yake
(2)Wafugaji wameshindwa kumtunza
Tutaendelea kujuzana.

unaweza kun'goa nguzo ya nyumba yako?

Wengi tuko mbali, tunaomba taarifa nini kimejiri ktk kikao cha kamati kuu (CC) ya CCM, miongoni mwa hadidu rejea:

1. Jairo

2. Kujiuzulu kwa Rostam

3. Umeme

4. Sitta na wenzie kujiunga na CCJ
Jairo anahusikaje hapa?Wengi tuko mbali, tunaomba taarifa nini kimejiri ktk kikao cha kamati kuu (CC) ya CCM, miongoni mwa hadidu rejea:
1. Jairo
2. Kujiuzulu kwa Rostam
3. Umeme
4. Sitta na wenzie kujiunga na CCJ