Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Ndg wana JF, nadhani sasa tunashitukiwa naambiwa na mdao aliyeko kule kule kuwa electronics note taking hairuhusiwi, hii inamaanisha vitu kama laptop, ipad na cm haziruhusiwi kuguswa guswa mle ndani.

Sasa sijui ni kwa kuhofia jf itapata kila ishu au vp, lkn jamaa wakitoka watatupasha yote.

Hakuna hata habari za uhakika zilizovuja?kweli kikao ni kikali na cha siri kubwa.

Dom wamelogwa na ccm. Ni moja ya mikoa mitiifu kwa ccm.

Sio wote mkuu wana utiifu huo kama unavyogeneralize pia niko Dom na sipo hvyo,it seems watu wa usalama wamesoma mambo ya humu ndani so kama Wa kusoma anavyosema jamaa humo ndani wamenyimwa yaliyosemwa hapo juu,so tutulie wakitoka tu humu ndani full mihabari

Sio wote mkuu wana utiifu huo kama unavyogeneralize pia niko Dom na sipo hvyo,it seems watu wa usalama wamesoma mambo ya humu ndani so kama Wa kusoma anavyosema jamaa humo ndani wamenyimwa yaliyosemwa hapo juu,so tutulie wakitoka tu humu ndani full mihabari

Poa mkuuu ukipata habari tuhabarishe.

Kuhusu Rost aliitwa awepo nchini lakini tangu JK aripoti dom juzi yasemekana jamaa hawezi tua nchini,na pili khs jimbo la Igunga sera iliyopo pale ni kwamba kampeni ya CUF iko juu asilimia 95% na CCM wanaumia vichwa wamuweke nani kwani wenyeji wanataka muislamu tu,tatu khs umeme kima cha maji mtera kinazidi kushuka toka meta za ujazo 90.5 kinaelekea 90 na at that level production activity ya umeme TANESCO inasimama kabisa hivyo wanahaha juu ya IPTL inayohitaji bil 7 za gesi huku kamati ya January ikidai fedha isitoke wajiendeshe kwa tax heaven waliyohujumu,nne khs Chenge hakuna jinsi ya kumvua gamba ndiye tegemeo pekee la legal consultancy nchini...DPP comments ila LWS ajiweke vzr,na khs JAIRO ushahidi hautoshelezi

kwahiyo unataka kusema chama kitakachomsimamisha muislam tu kimekula bingo?usiwashushe hivo watu wa igunga mkuu

tuweni wapole tu ndugu maana kunauwezekano kuna siri nzito hasaukizingatia walishawandanganya watz magamba yalitakiwa kujihudhuru lakini mpaka leo hii ni gamba moja tu lililofanya hivyo. tusubirini tuone nini kitajiri kwa leo

Hakuna siri ya mtu mmoja huku kwetu, maadili ya 'classfied au confidential' hatuna.
Watayojadili magamba tutayajua si muda.

Taarifa rasmi baada ya nusu saa, kikao bado kinaendelea. Lakini habari zisizo rasmi zinasema kuna kutokuelewana kati ya Mwenyekiti na baadhi ya wajumbe.

Kikwete ameleta hoja ya kumbembeleza Rostam Aziz awasaidie kampeni na hapo ndipo wajumbe walilipuka kwa hasira na baadhi kutoka nje kwa dharau.

• Thanks
Reactions: EMT
Taarifa rasmi baada ya nusu saa, kikao bado kinaendelea. Lakini habari zisizo rasmi zinasema kuna kutokuelewana kati ya Mwenyekiti na baadhi ya wajumbe. Kikwete ameleta hoja ya kumbembeleza Rostam Aziz awasaidie kampeni na hapo ndipo wajumbe walilipuka kwa hasira na baadhi kutoka nje kwa dharau.

Inaonekana wameamua kumuonyesha kuwa wanamdharau baada ya kujificha muda mrefu, ccm raha sana

Back
Top Bottom