Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho kaka! Hata EL utafika mwisho wake tu.
 
Kikwete awatimue wote then CCM wajipange upya...(ikiwezekana lkn)
 
Kuna mtu kanipigia simu na kuweka loud: lowassa anaongea sasa anasema ataondoka endapo atapewa nafasi yakuongea yala anayoyafahamu kuhusu uchumi wa nchi na ushiriki wa chama toka 2005 mpaka sasa kimaendeleo. Ila simu imekatika
 
Una maana AC hatakubali kubakiwa na ubunge kwa kuwa anaogopa kumalizwa kwa maana anafahamu madhambi mengi ya JK?Kumalizwa huko ni kwa namna gani?Kuuwawa bungeni ama kumalizwa kisiasa?

Na hapo pa EL una maana akitoka wana cc watamfukuza M/Kiti?Taratibu zenu za chama zina ruhusu?
Shukran kwa taarifa hizi.
 
Kuna mtu kanipigia simu na kuweka loud: lowassa anaongea sasa anasema ataondoka endapo atapewa nafasi yakuongea yala anayoyafahamu kuhusu uchumi wa nchi na ushiriki wa chama toka 2005 mpaka sasa kimaendeleo. Ila simu imekatika

Umeona sasa. Hiyo ndiyo janja ya EL. Anajivunia kujua madhambi ya rafiki yake Mkulu wa Nchi. Ndiyo maana ameamua kuanza kumtisha. Mi naona sasa siasa zimekuwa tamu.
 
Reactions: EMT
Kuna mtu kanipigia simu na kuweka loud: lowassa anaongea sasa anasema ataondoka endapo atapewa nafasi yakuongea yala anayoyafahamu kuhusu uchumi wa nchi na ushiriki wa chama toka 2005 mpaka sasa kimaendeleo. Ila simu imekatika

mkuu EL haongei sasa
 
mkuu EL haongei sasa

Mkuu Kilewo,

Una maana AC na EL wameitwa kujieleza kwenye CC? sasa wewe kwa nini huku irekodi na kutuwekea hapa. Hizi source zimezuka mmmmm
 
Tupo pamoja mkuu na zaidi pole aisee na aminia kwa mihabari na sasa ni saa sita na dk nane ya tar 1
 
Kuna mtu kanipigia simu na kuweka loud: lowassa anaongea sasa anasema ataondoka endapo atapewa nafasi yakuongea yala anayoyafahamu kuhusu uchumi wa nchi na ushiriki wa chama toka 2005 mpaka sasa kimaendeleo. Ila simu imekatika
Nina mashaka na source yako juzi ulituambia umeongea na Lema kwenye simu kuwa anamkutano Arusha J3 leo unasema umemsikia Lowassa akiongea kwenye simu wakati wengine wanasema yuko kimya si ujanja kudanganya watu kama huna source unasoma za wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…