Kamati kuu CHADEMA mnakosea sana

Kamati kuu CHADEMA mnakosea sana

Chadema washawafukuza hao wachumia tumbo 19.
Upo misinformed then. Wakifukuzwa, kuna kitu inaitwa BARAZA KUU linakaa na “kubariki” maamuzi yale.

Baraza kuu inabidi likae na kujadiri hatma ya wale 19 na uhalali wa Aida Khenani kuwa Bungeni wakati huohuo Chama kinaona si sawa kupeleka wabunge wa viti maalumu.

Hii issue haiwezi kuachwa ikihang hewani tu.
 
Nilishasema kuendelea na process za kuchukua baada ya kuwafukuza ni kupoteza muda,wewe elewa kwamba walishafukuzwa.
 
Hao watu walishafukuzwa, na wamepuuzwa na wananchi. Hata wao wenyewe wanalijua hilo, Chama kina mambo muhimu zaidi kama alivyosema Makamu Mkt. Tundu Lissu "Hatuwezi kuitisha mkutano wa baraza kuu la chama, eti kisa tu ni kujadili hao WAASI".
 
Naandika kwa masikitiko makubwa sana.

Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?

Jambo la pili,sioni kama mna nia ya kufungua kesi mahakamani ili kuwashitaki wahusika wa sakata hili feki la kuwapeleka covid-19 bungeni.

Wito wangu: You need to be smarter in this war, otherwise you will lose before the war itself.
Mahakama ipi kijana?
 
Pilipili Mbuzi, umetoa ushauri wa maana kabisa, kweli kuna kiza hapa, kuhusu hili swala.

La kujiuliza, jee hawa kina DADA 19 ujasiri huu ni wao, au kuna mkono wa kichama nyuma yao. Tunajua Chama Changu cha CCM, kinaweza tumia mbinu zozote kuhakikisha mvurugano unatokea nfani ya CDM, tukiwacha hilo, Jee ubavu wanaopewa hawa kinadada na power ipi ndani ya CDM, hadi waka wakakamavu hivi.

Mbowe na CHADEMA wameweza kuwasambaratisha vigogo wenye mvuto mkubwa kama akina Marehemu CHACHA, ZITTO NA TIMU YAKE, Wenje na wengine wengi.

But never these ladies, acheni kuwaangalia hawa mademu, fanyeni uchunguzi ndani yenu. Wahenga walisema " KIKULACHO KII NGUONI MWAKO"
Mnataka CHADEMA kifanye nini tena wakati kilishawafukuza uanachama?

Chama hakideal na watu ambao siyo wanachama wake tena
 
Kwa hiyo unashauri CHADEMA wafanyaje sasa? Viongozi waendelee kumute tu as if hakuna lililotokea? Baraza kuu lisikae kwa kuwa maamuzi yao hayana maana? BAWACHA waendelee kukaa bila viongozi wa kuchaguliwa?

Kutokuchukua hatua stahiki kwa kuwa tu unaamini eti utashindwa ni udhaifu mkubwa sana unless ofcourse na wewe ni part ya hiyo syndicate.
CHADEMA kilishawafukuza uanachama kina Halima Mdee na wenzake kwa mujibu wa maamuzi ya kamati kuu they are no longer members of the party unataka chama kishughulike na watu ambao siyo wanachama wake ?
 
Naandika kwa masikitiko makubwa sana.

Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?

Jambo la pili,sioni kama mna nia ya kufungua kesi mahakamani ili kuwashitaki wahusika wa sakata hili feki la kuwapeleka covid-19 bungeni.

Wito wangu: You need to be smarter in this war, otherwise you will lose before the war itself.
CCM walitegemea Chadema Watakwenda Mahakamani na kesi ilipangwa hivi ,Wakati kesi ikiendelea Mahakama itawaruhusu kuendelea na ubunge mpaka hukumu na hukumu ingepigwa tarehe mpaka 2025 na Ndungai atakuwa hana lawama maana atasema anaheshimu Mahakama Tofauti na sasa kuna wasiwasi mkubwa maana Ndugai anaonekana direct ndo anavunja katiba ya nchi.Mipango yao ya kishetani walitaka walibwage kwenye muhimili mwingine ili wenyewe waonekane wasafi,nafikiri Chadema wamewashitukia ,wache hao wanawake ila muda utasema uko mbele maana kuna mtu atakuja kuwashitaki kwa kuvunja katiba waziwazi namna hii.
 
CHADEMA kilishawafukuza uanachama kina Halima Mdee na wenzake kwa mujibu wa maamuzi ya kamati kuu they are no longer members of the party unataka chama kishughulike na watu ambao siyo wanachama wake ?
Lakini kilipokea rufaa zao. Au rufaa zilitupwa?
 
M
Naandika kwa masikitiko makubwa sana.

Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?

Jambo la pili,sioni kama mna nia ya kufungua kesi mahakamani ili kuwashitaki wahusika wa sakata hili feki la kuwapeleka covid-19 bungeni.

Wito wangu: You need to be smarter in this war, otherwise you will lose before the war itself.
Mambo haya yanahitaji umakini mkubwa siyo kukurupuka tuu, vikao wameshasema vitafanyika mwezi wa tatu au wanne na maamuzi yatatoka, huwezi kwenda mahakamani wakati kuna kikao chenye kufanya maamuzi makubwa kinasubiriwa kufanyika..
 
Maamuzi ya kamati kuu yanaendelea kusimama pale pale mpaka yatakapotenguliwa na Baraza kuu.
Safi. Baraza Kuu likae tu na kumaliza hii sintofahamu.

Akina Halima wanahoji iweje kususia kupeleka wabunge viti maalumu kwa sababu uchaguzi haukuwa halali wakati huohuo kukubali Aida aende Bungeni wakati na yeye ni zao la uchaguzi huohuo? Kwanini mwaka 2015 walienda Bungeni wakati uchaguzi haukuwa huru and fair as well?
 
Ndivyo walivyokutuma useme?

Amandla...
 
mkuu hivi unamjua mbowe au una msikia tu kwenye bomba? kitu kimesukwa hicho unafikiri ruzuku na pesa ya kila mwezi wanazochanga wabunge viti maalumu ni chache? angekula wapi?

kaa ukisubiri kikao cha kamati kuu mpaka miaka mitano itaisha waingie kwenye uchaguzi tena na siyo rahisi wele kuwa walijipeleka wenyewe bila mkono wa chadema kuhusika never mbowe anahusika mnyika alizungukwa na ndiyo maana mdee akamuambia wewe dogo umefaziliwa umekuja chadema na ndala na hakujibu kitu
Mbowe amzunguke Mnyika? Yaani Mbowe aliyemkaribisha Mnyika leo hii aogope kufanya maamuzi hadi amzunguke? Ssa udikteta wa Mbowe mnaosema uko wapi? Ina maana Mbowe anaweza vunja kanuni na sheria za nchi (Maana majina lazma yapitishwe na kamati kuu na kukabidhiwa kwa katibu mkuu anayepeleka NEC ) na akaachwa?

Ni hivi Mbowe angehitaji kupeleka majina asingezunguja angetoa order tu na no way Mnyika angepinga..... ila kusema mpka amzunguke inafanya hoja yenu ikose uhalali!!
 
Safi. Baraza Kuu likae tu na kumaliza hii sintofahamu.

Akina Halima wanahoji iweje kususia kupeleka wabunge viti maalumu kwa sababu uchaguzi haukuwa halali wakati huohuo kukubali Aida aende Bungeni wakati na yeye ni zao la uchaguzi huohuo? Kwanini mwaka 2015 walienda Bungeni wakati uchaguzi haukuwa huru and fair as well?
Kwanza CHADEMA hakijawafukuza uanachama kina Halima kwa sababu wanayoitoa wao bali kwa wao kukiuka taratibu za chama.

Pili uchaguzi wa 2015 chama walidespute matokeo ya kura za urais na kwenye majimbo walifuata taratibu za kwenda mahakamani.

This time tume ya uchaguzi ilibana hata hiyo haki ya kwenda mahakamani, worse the whole electoral process was marred with incurable defects.
 
Naandika kwa masikitiko makubwa sana.

Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?

Jambo la pili,sioni kama mna nia ya kufungua kesi mahakamani ili kuwashitaki wahusika wa sakata hili feki la kuwapeleka covid-19 bungeni.

Wito wangu: You need to be smarter in this war, otherwise you will lose before the war itself.
Mahakama ya wapi mtoa mada unafikiri Ndugai ni mjinga au mpumbavu?? Anajua ni nini anachofanya na maamuzi yake anayajua,hapa usifikiri kuna sheria labda hao madada wangekuwa na kesi inayoidhalilisha serikali au kumgusa mkuu wa nchi majibu yake ungeyapata mara moja.Unawaonea viongozi wa chadema bure kwani ndugai,magufuri na mwigulu nchemba hawaipendi chadema kwa sababu ya Lissu,Mbowe na Mnyika.
Kama hao wasingekuwepo mbona kuvuliwa uanachama kwa hao covid 19 kungesikilizwa mara moja tena kwa mbwembwe nyingi na ndungai na kundi lake.Kumbuka wewe kuwa hapa kuna vinasaba vya watu kutoka kanda fulani kuchukiwa hata kama wako sahihi asilimia mia lakini kutokana na asili yao wamepuuzwa sana na awamu hii inayojitamba kuwa serikali ya wanyonge.Katiba iko waziwazi wala haifichi uhalali/ukomo wa mtu kuwa mbunge .
 
Back
Top Bottom