tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,755
Saccos iko chato,fisadi no 1 yuko chatoChadema chama ilikufa enzi za akina slaa hivi sasa kuna kikundi cha wafanyabiashara saccos!
Saccos iko chato,fisadi no 1 yuko chatoChadema chama ilikufa enzi za akina slaa hivi sasa kuna kikundi cha wafanyabiashara saccos!
Wito wangu: You need to be smarter in this war, otherwise you will lose before the war itself.
Unadhani? Ishi kwenye uhalisia, acha kuishi maisha ya "kudhani dhani..!!!Chadema washawafukuza hao wachumia tumbo 19.
Huwezi amini Inawezekana kamati kuu ndio iliidhinisha hao Covid19 waende bungeni.Siasa sanaa.Maamuzi yanaweza tolewa 2024 /25.Naandika kwa masikitiko makubwa sana.
Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?
Jambo la pili,sioni kama mna nia ya kufungua kesi mahakamani ili kuwashitaki wahusika wa sakata hili feki la kuwapeleka covid-19 bungeni.
Wito wangu: You need to be smarter in this war, otherwise you will lose before the war itself.
Shaka s.shaka yule aliyesimamishwa na jiwe la chunvi ameolewa na mprlembwe wa tanga. Yaani mwanaume kamuo mwanaume kiongozi wa Ccm mwanaumeChadema chama ilikufa enzi za akina slaa hivi sasa kuna kikundi cha wafanyabiashara saccos!
Naandika kwa masikitiko makubwa sana.
Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?
Jambo la pili,sioni kama mna nia ya kufungua kesi mahakamani ili kuwashitaki wahusika wa sakata hili feki la kuwapeleka covid-19 bungeni.
Wito wangu: You need to be smarter in this war, otherwise you will lose before the war itself.
Vaaa barakoaNaandika kwa masikitiko makubwa sana.
Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?
Jambo la pili,sioni kama mna nia ya kufungua kesi mahakamani ili kuwashitaki wahusika wa sakata hili feki la kuwapeleka covid-19 bungeni.
Wito wangu: You need to be smarter in this war, otherwise you will lose before the war itself.
Baraza kuu linangoja nini kukaa, kwa kifupi wanangoja au wanangoja swala lipoe walipotezeeUpo misinformed then. Wakifukuzwa, kuna kitu inaitwa BARAZA KUU linakaa na “kubariki” maamuzi yale.
Baraza kuu inabidi likae na kujadiri hatma ya wale 19 na uhalali wa Aida Khenani kuwa Bungeni wakati huohuo Chama kinaona si sawa kupeleka wabunge wa viti maalumu.
Hii issue haiwezi kuachwa ikihang hewani tu.
Baraza kuu linangoja nini kukaa, kwa kifupi wanangoja au wanangoja swala lipoe walipotezee
Kiutaratibu Baraza Kuu hukaa mara 4 kwa mwaka.Lina ratiba maamuzi.Otherwise,kutokee suala la dhalula kubwa ambalo haliwezi kuamuliwa na Kamati Kuu.Ni masuala machache sana ambayo Kamati Kuu haiwezi kuamua kwa niaba ya Baraza kuu
Hili swala ni la dharula walipaswa wakae mapema madhara yake ni makubwa wakichelewa kutoa maamuziKiutaratibu Baraza Kuu hukaa mara 4 kwa mwaka.Lina ratiba maamuzi.Otherwise,kutokee suala la dhalula kubwa ambalo haliwezi kuamuliwa na Kamati Kuu.Ni masuala machache sana ambayo Kamati Kuu haiwezi kuamua kwa niaba ya Baraza kuu
Hili swala ni la dharula walipaswa wakae mapema madhara yake ni makubwa wakichelewa kutoa maamuzi
Hili swala ni la dharula walipaswa wakae mapema madhara yake ni makubwa wakichelewa kutoa maamuzi
True. Thats why ilipaswa kuzuia wote kuingia bungeni, including dada Aida Khenani ili kuepuka talk of double standards.This time the whole electoral process was marred with incurable defects.
Hata kama CHADEMA watamuacha Aida Khenan nani aliwateua kina Mdee kwenda bungeni bila idhini ya Kamati Kuu ?True. Thats why ilipaswa kuzuia wote kuingia bungeni, including dada Aida Khenani ili kuepuka talk of double standards.
Kwa nini wamuache Aida Bungeni ilihali na yeye kapatikana kwenye ileile haramu?Hata kama CHADEMA watamuacha Aida Khenan nani aliwateua kina Mdee kwenda bungeni bila idhini ya Kamati Kuu ?
Walivunja taratibu za chamaKwa nini wamuache Aida Bungeni ilihali na yeye kapatikana kwenye ileile haramu?
Who knows? Labda kina Halima waliona uongozi unayumba tu na unashindwa kusimamia maamuzi yake wakaona na wao wajipeleke.
Inaandika kama umetoka kufanyiwa vipimo vipya vya korona!Chadema chama ilikufa enzi za akina slaa hivi sasa kuna kikundi cha wafanyabiashara saccos!