Kamati kuu CHADEMA mnakosea sana

Kamati kuu CHADEMA mnakosea sana

Inaandika kama umetoka kufanyiwa vipimo vipya vya korona!
Mabwana zako wanahaha kuona jinsi chama kilivyo imara hadi kuikataa ruzuku wewe unapitisha pitisha vihoja vyako vilivyopitwa na wakati!
Nani kakwambia imekatalia mbele ya waandishi wa habari kuna mtu pale wa kuwacha pesa ndio maana wanawazuga kuwafukuza wabunge wanashindwa kujibu rufaa wakati ukweli wanaujua wale wote ni mahawara zao kweli wajinga ndio waliwao!
 
Back
Top Bottom