Uko sawa kabisa. Binafsi nimeshuhudia msafara maeneo ya mianzini... Inapendeza kuona watu wameamka kiasi hicho.. In short watu wa arusha hawadanganyiki tenaaaa!Mkuu, Arusha hapendwi mtu kina pendwa chama, ilikuwa issue ya dakika chachetu lakini watu sijui wametokea wapi....
Pamoja sanaAsante kwa taarifa people's powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! magambo hoi
nafiri hata huko kuna matawi yanaenda kufunguliwa ingawa sijui hasa ni sehemu gani...ila walipotoka Sokoni walielekea kwenye gome kuu Disemba...Uko sawa kabisa. Binafsi nimeshuhudia msafara maeneo ya mianzini... Inapendeza kuona watu wameamka kiasi hicho.. In short watu wa arusha hawadanganyiki tenaaaa!
Makamanda wako ndani ya A-Townnimepita mjini nikajiuliza kunani, maana daladala na magari mengineyo yanapeperusha bendera za chadema.
Simu yake haina mafuta si umesikia mgomo wa wauza mafuta...lolSL hebu nipigie au pokea simu yangu......
Kwa ajili ya kukimbia au kutembea!!yetu miguuu tu...!!!
Hahahahaha! Utakufa nacho kijiba cha roho!..Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.
Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.
Shule yangu Ilboru inasifika sana
Popote ninapokwenda inasifika sana,
Kwa usafi na majengo inasifika sana.
Shule yangu naku peenda.
Walimu wafanyakazi wasifika sana.
Du Nimemkumbuka BINO mwl Mushi

Chama cha demokrasia na Maendeleo kimefunika Arusha ni kwenye ufunguzi wa matawi 16nimebahatika kuhudhulia ufunguzi wa tawi moja la Soko kuu hakika CHADEMA hapendwi mtu kinapendwa chama.sipati picha kesho

Nilichelewa kufika hivyo sikuweza kuwakalibia makamanda..ila alikuwepo meya wa musoma, Peter msigwa, Lema...
Habari yako mkuu, jana uliomba katiba ya CHADEMA nikakupatia vipi umeipitia, je umeona makosa ya CC ya Chadema?...Kama wamefikiri kuwa wamefanya maamuzi magumu yanini CC yote iende Arusha? Je wanakwenda kufanya nini?au ndio kujikosha kwa wana Arusha watu ambao wamechoshwa na malumbano ya takriban mwaka mzima pasi na maendeleo. wanataka ile barabara ya kwenda skuli kwangu Ilboru (BINO Rd) kutokea sanawari na ile inayotokea mianzini mpaka Ekenywa na ile ya Inaboishu na barabara za majengo, mbauda kaloleni zitiwe lami.
Nachelea kujiuliza Hii CC ya Chadema itawaeleza nini wananchi wenye kiu ya maendeleo? Haya angu macho.
i

Nimepita hapa kituo cha Tax Baracuda karibu na manispaa Arusha namwona Rasta yaani aliyekuwa diwani wa Kaloleni kwa tikiti ya CDM akiwa amevalia suti nyeusi then akaingia kwenye gari yake Escudo huku akivuta sigara kwa hisia na haongei na mtu.

Na pale headquarters ya wakereketwa Philips nimekuta watu wakiwa wameshika bendera za CDM na kuna uwezekano wa maandamano ya CDM kwa upande mmoja na waliofukuzwa wanajaribu ku fight back kwa upande mwingine. Tusubiri jioni sijajua kitakachotokea ila kuna kila dalili hata wananchi wamefurahi hao jamaa kufukuzwa.
Ngongo huwa haonekani kwenye thread za chadema za +V labda subiri kama kikitokea kisikendo cha Lema utamuona tu usijari...lolWapi ngongo????????