mopaomokonzi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 307
- 28
1 kwenye mikutano ya chadema hulazimishi kwenda kama wanavyofanya ccm Kufunga ofisi zetu kwa lazima na vitisho kwa wenye majengo, 2. tumefanyakazi kwa miaka 50 mbona hatuoni mabadiliko..Hivi hiyo Alhamisi ni siku ya kazi au ni mapumziko? Utaandaaje mkutano siku ya kazi? Mi naona hawa CDM wanaleta vurugu tu hapa nchini na kuwanyima wananchi fursa ya kufanya kazi na kujikwamua kiuchumi!
Hivi hiyo Alhamisi ni siku ya kazi au ni mapumziko? Utaandaaje mkutano siku ya kazi? Mi naona hawa CDM wanaleta vurugu tu hapa nchini na kuwanyima wananchi fursa ya kufanya kazi na kujikwamua kiuchumi!
Unavyopenda kuwafanya wanaarusha mandondocha ndio ninapochoka kabisa hawahitaji kurubuniwa na mtu kwani wamejiandaa kwa mabadilikoKazi ipo si rahisi hata kidogo kuwa rubuni wakazi wa Arusha, kwani suala kubwa na kiu chai ni maendeleo na si malumbano. sasa ni lipi watajisafisha kwao.
Chama cha demokrasia na Maendeleo kimefunika Arusha ni kwenye ufunguzi wa matawi 16…nimebahatika kuhudhulia ufunguzi wa tawi moja la Soko kuu hakika CHADEMA hapendwi mtu kinapendwa chama….sipati picha kesho
Nilichelewa kufika hivyo sikuweza kuwakalibia makamanda..ila alikuwepo meya wa musoma, Peter msigwa, Lema...
Hahahaha! Wewe ndo ujipe moyo!...Hahahahahah Jipe Moyo